inakuwaje pale ambapo mtuhumiwa hakuandikwa maelezo polisi na akapelekwa mahakamani na katika proceeding akatoa hoja hiyo kuwa hakuandikwa maelezo yake na anaomba mahakama imwachie huru je anaweza kuachiwa kwa hoja hiyo ? toeni maoni yenu as much as you can with cited cases na vifungu vya sheria.