Mtuhumiwa wa ugaidi ikithibitika Mahakamani kuwa hana hatia, anaweza kudai fidia?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,875
141,809
Kimsingi dunia huwa haishirikiani na gaidi yoyote na dunia ni watu na maliasili zao.

Sasa endapo mtu aliyetuhumiwa kwa ugaidi na kutengwa na " dunia" akionekana hana hatia mbele ya mahakama atakuwa na haki ya kudai fidia kwa hasara aliyopata kwa sababu ya kutengwa?

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Wewe unafikirije kwani?

Anaweza kulipwa fidia?

Pls, don't say ndiyo maana nimeuliza.

Kwa sababu na mimi nakuuliza kwa kuwa wewe umeuliza na jibu lako ndilo litakuwa jibu la maswali yote langu na la kwako.
 
Gaidi anaesindikizwa mahakamani na mabalozi wa nchi wahisani, au jina jingine mnapenda kuwaita "nchi marafiki".
 
Gaidi anaesindikizwa mahakamani na mabalozi wa nchi wahisani, au jina jingine mnapenda kuwaita "nchi marafiki".
Bila shaka huyo ni mdau na mshirika wa mapambano ya haki na democrasia na sii gaidi.
 
Back
Top Bottom