Mtuhumiwa wa Dr. Ulimboka, Joshua Mulundi alivyomponza Gwajima

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Nadhani mnaikumbuka vyema ile movie ya kuteswa Dr. Ulimboka na kisha kutupwa mabwepande,serikali ikamtafuta mtesaji wa Dr hadi ikamnasa live na kisha kamanda kova kuita waandishi na kuwaonyesha mtuhumiwa alivyokamatwa baada ya kukutwa ktk kanisa la Ufufuo na uzima akiwa kaenda kutubu dhambi zake za kumtesa Dr,si ndo mzee wetu wa misukule akakanusha kuwa hakuna mtu aitwaye Joshua Mulundi aliyefika kutubu ktk kanisa lake.

Sasa serikali inasema kuwa alienda kwake,halafu yeye anakataa kwa kiburi,mlitegemea nini kingeendelea?
Haya ya pengo na mengine ni stori za kahawa tu,habari ya mjini ni Joshua Mulundi.

Sasa kwanini Gwajima apingane na serikali? Yeye amekuwa nani?

Sisi watazamaji tupo uwanjani kuona mechi inavyoenda.

Je, Kati ya serikali na Gwajima ni nani yupo sahihi?

Mimi nasema hebu tusubiri kuona kati ya Mungu wa Gwajima na Mungu wa serikali nani atashinda?

Yetu macho.

Habari zaidi, soma=>Aliedaiwa kumteka Dr. Ulimboka akana mashtaka Kisutu
 
Kwani mnaoenda kutubu kwa Padre, ikiwa umeua anakushitaki polisi? Kwa nini wamtake gwajima amshitaki polisi.

Na kwa walokole hakuna kutubu dhambi kwa pastor, unatubu mwenyewe kwa mungu wako, sasa gwajima amjue yeye kwa sababu gani?
 
serikali baada ya kukomaa na mambo makubwa ichukue ujiko huko wanakomaa na gwajima ni fedheha kubwa kwa maana tunajua jua ni nan alie nyuma ya pengo
 
Kila mtu alijua ni uongo huyu kova naye kuzidi uongo na jicho Lake ka anaona angani tu uongo badala ya kufanya kazi kwa weledi.
 
Back
Top Bottom