Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

 
Hii ndo hasara ya jeshi la policcm kuajili vibaka wa mtaani kama ma askari
 
jamaa kafanywa mbuzi wa kafala,sasa polis mjifunze wanawatuma nyie walala hoi wao wakubwa wamekaa tuu ikitokea la kutokea unatolewa kafala peke yako.kazi kwenu polis mjifunze sasa

Kafala ndio nini!!??:eek2: au unakusudia KAFARA??
 
Ni mahakama gani? walisema mahakama ya kijeshi, is this true?

Yeah kikawaida kabla hajafikishwa mahakamani inatakiwa afunguliwe defaulter charge(mashtaka ya kijeshi) ili aachishwe kazi kisha kupelekwa mahakamani

Sasa tujiulize na wale wengine ambao hatujawaona mahakamani leo walishafunguliwa mashtaka ya kijeshi na kwanini leo hawakufikishwa mahakamani?
 
Kisheria huwa tunatowa na reference na reference nzuri ni kesi ya Zombe, Kamanda Zombe hakuwepo sehemu ya tukio la mauwaji lakini alikamatwa na kujumuishwa kwenye shtaka la mauwaji kwa sababu yeye alitoa amri ya mauwaji.

Sasa inashangaza huyu RPC Kamuhanda yeye pia alitowa amri ya mauwaji na alikuwepo eneo la mauwaji kushuhudia agizo lake linatekelezwa kisha ndio akatokomea, je ni kwa nini huyu asiwe mshitakiwa namba moja kwenye kesi hii ya mauwaji?
Hii haikubaliki na hatuwezi kuruhusu ujinga huu uendelee ndani ya Taifa letu.

Kama siku hiyo hawa vijana wa Polisi wangefanya jambo la kishujaa,leo hii angekua anasifiwa kamanda wao Kamuhanda na wakuu wa Polisi. Lakini wamevurunda wanaleta siasa kama kwamba siyo taasisi inayosimamiwa na nidhamu ya kijeshi.
 
, nawapa reference mkumbuke Zombe akushiriki wala hakuwepo kwenye tukio la mauwaji lakini alitiwa pingu kwa sababu yeye ndio alitowa amri ya Mauwaji, swala la Zombe kushinda kesi ni hadithi nyingine ya uzembe wa makusudi kutokuwa na madpp wenye viwango.

Safi sana, mkuu
 
:A S cry:''ROHO YA MAREHEMU MWANGOSI ILALE MAHALI PEMA PEPONI, MAANA KILA NIKIANGALIA HIZO PICHA NABUBUNJIKWA MACHOZI HATA LA KUSEMA SINA ZAIDI YA KUMWOMBEA ALIYETANGULIA MBELE ZA HAKI BAADA YA MATESO MAKALI'' MUNGU WASAMEHE WOTE WALIOHUSIKA KATIKA HILI KWANI HAWAJUI SIKU YAO ITAFIKA NA WATALIA NA KUSAGA MENO. :spy:
 
Kamuhanda, Kamanda wa FFU Iringa na wale askari wengine 6 (ukimwondoa yule aliyejeruhiwa nasikia anaitwa Kampamba) walipaswa kuuawa kwa kunyongwa hadi kufa. Muda huu walipaswa kuwa gerezani kusubiri mnyongaji.

Nchimbi, Chagonja na Mwema hao ndio walipaswa kupanda kizimbani. Jutice and truth are twins. All of those 3 there are confirmed liars.

Tendwa, TBC 1 na Clouds FM walipaswa kususiwa.

Pia Mahakama Kuu ilipaswa kutoa notisi hii kwa Polisi "....IKITOKEA MWANANCHI YEYEOTE AMEJERUHIWA AU KUUWAWA KATIKA MKUTANO WOWOTE WA KISIASA KATI YA SASA NA MWAKA 2016, POLISI WATAWAJIBIKA KWA ASILIMIA 100% KWA VIFO HIVYO"
 
Sasa mkulu kikwete atapumua maana atasema HAWEZI KUONGELEA MAMBO YALIYOPO MAHAKAMANI na ndo imepotezewa hivyo! Poor Tanganyikans
 
naomba niwe mmoja wawasiokubaliana na huyu usanii kwanza huyu kijana ni mtoto mdogo sana. pili tunaomba picha ya mtuhumiwa na wale waliokuwepo kwenye tukio watudhihirishie kama kweli ni yeye maana huu umri ukiangalia kwa haraka kama alianza darasa la kwanza ana miaka 7 + miaka 7 ya STD 7 unapata 14 kama alienda O'level 4 years na ukijumlsha na miaka 2 ya mafunzo ya upolisi basi utapata jibu kuwa mpaka anaingia kazini alikuwa na miaka 22 na hapa ina maana hajapumzika tangu aanze kusoma mpaka anaenda kozi ya kipolisi. kwa kifupi kama anamiaka 23 basi anauwezekano wa mwaka 1 na nusu. Naomba kwa wale wanaomfahamu watupatie details zake maana ninaimani kunawatu waliokuwa karibu naye pengine primary school au secondary school na pengine kwenye kozi ya upolisi ili tujue ukweli maana unaweza ukawa uongo wa kutupotezea muda. na walio fanya hiki kitu wa kawa pembeni kama kawaida yao Polisi
 
September 12, 2012

BREAKING NEWssssssssMTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI AFIKISHWAMAHAKAMANI LEO IRINGA




Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani


Askari anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa ugumu.

Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa Pacificus Cleophase Simon (23

HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE





Mnashabikia msivyovijua
 
I love Bongo bana, everyday there is a serious dram nasikia nae kumbe ni MKENYA, halafu story- SAWA LIKO MAHAKAMANI
 
Walioko Iringa tunaomba picha kwa sababu picha za wauwaji wote tunazo, hatukubaliani na mazingaombwe haya, halafu naomba tu kuuliza sasa ile kamati ya harusi ya Nchimbi kazi yake ni nini sasa? changa la macho hili.
Ni yakuangalia nani atasimamia vinywaji na Chakula
 
Achana na huyo chaugonjwa yeye na mke wake ni matapeli tu.
Akina Mwema na Chagonja hawa wanapaswa kuwajibika wenyewe,lasivyo Rais awatimue. Kwa kesi ya Iringa ni lazima Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya mauaji yamefanyika wajiuzulu,hawa ndiyo wakuu wa Kamati za Ulinzi na Usalama maeneo husika. Aidha wakuu wa Tiss wa mkoa na wilaya wawajibishwe. Walizembea!
 
Sikubaliani kabisa na kesi hii ni batili, Wanaharakati wote wanapaswa kuipinga hii kesi maana ni kuwafanya Watanzania ni wapumbavu kuliko maelezo.
Daudi-Mwangosi.jpg
wasiwasi wangu ni umri uliotajwa!!!waliopo kwenye picha sioni kama kuna umri wa miaka23,au niwalewale akina Shigella?
 
kelele zilizopigwa na hasa hapa jf kijitahidi kuweka picha za matukio zimesaidia sana kuizuia serikali isilete repoti ya uongo kwa watanzania kama ilivyozoeleka.
Kwa hiyo chamsingi sasa ni kuwa angalau katika hatua 100 za kwenda tumepunguza mbili basi iwe kama ndio tuaanza kuwasha moto.
Tuongeze msukumo na hasa kwa wale wanaoelewa masuala ya kisheria waweke wazi ufafanuzi ili na hao wengine weletwe mbele ya sheria ambapo itasaidia huko mbeleni hawa jamaa zetu wa polisi kupunguza au hata kuacha ukatili na manyanyaso yao.


mi napendekeza siku moja avamiwe kamuhanda auawe nayeye.enyi wananchi tuchukue sheria mkononi
 
tears in my eyes! i feel sorry for the young boy!

you gotta be shitting me!!!!you feel what?this punk is a cold-blood killer i wonder how many have died by his hands...eye for an eye tooth for tooth,kill the killer godamit..
 
Back
Top Bottom