Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

Ulinzi mkali wa nn iwapo akishafikishwa mara mbili atakua anaenda tu mwenyewe kama Lulu?
 
Kwa harakaharaka huyu Polisi kijana wa miaka 23 halafu awe FFU huyu Elimu yake ya juu ni lazima itakuwa ni form Four ya sasa. maana Form Four ya zamani tuliohitimu kina Matola ni Equivalent to Degree.

Pamoja matola
 
foul play nyengine hiyo, anashitakiwa kwa kosa la kuuwa, what abt asault ya wale askari nane kwa marehemu? hivi sheria gani ilioruhusu mwandishi kupigwa? kosa la kwanza ni la RPC yeye ndie mkuu wa pale na yote yametendeka kwa sababu ya kauli zake na order zake, achukuliwe hatua za nidhamu na kushitakiwa, let our legal system iamue ikiwa alikuwa guilty or not! la pili ni asault na grievous bodily harm kwa raia asiehusika, hii ni kwa wote askari wahusika, tatu ndio mauaji na hili pia sijui kama ni askari alierusha risasi pekee bali kwa kila aliechangia kufikia hatua hiyo. otherwise ni kiini macho jushutakiwa askari mmoja.

Note to take huyu kijana ni wa miaka 23, obvious hana elimu na hata hicho kidato cha nne inawezekana kabisa ni wale with fake certs! Mafunzo ya jeshi la polisi ndio yaliomfanya kufikia hatua ya kuua, jeshi la polisi zima lazima lifanyiwe reforms kubwa, kuanzia mafunzo, ethics na operations zake kuwa wazi. Kauli zao hazionyeshi ni profesional people, system nzima inahitaji mabadilko ya hali ya juu. Ipo haja ya kuwa na elected superintent akiwa na sifa hasa ya legal matters na management ili kuwe na balance kati ya operation za kipolisi na huduma za raia na kuweka usimamizi wa jeshi chini ya mikono ya wananchi zaidi.
 
Sikubaliani kabisa na kesi hii ni batili, Wanaharakati wote wanapaswa kuipinga hii kesi maana ni kuwafanya Watanzania ni wapumbavu kuliko maelezo.

Daudi-Mwangosi.jpg

Nilitegemea hawa askari sita (ningemuondoa huyo mmoja aliyemkumbatia Mwangosi) wote wangeshitakiwa kwa mauaji ya Mwangosi pamoja na RPC Kamuhanda. Lakini serikali ya ccm imeamua kuwatukana watanzania kwa kumshitaki mmoja wao.
 
23yrs? CCM wamemharibia dogo life sana, ina maana ana miaka 6 au 4 tu kazini.
 
pUMBAFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

hII KESI CHENGA LA MACHO

Haiwezekani huyu jamaa akaenda peke yake

Shame shame shame on you...............

For the government kurudisha trust kwa umma RPC, OCD na askari wote walio kuwepo inabidi waende mahakamani
otherwise this thing is killing our party CCM
 
Ona sasa kijana miaka 23 anateketea kwa kutolewa kafara ya jela na hao Polisi, Kamuhanda nae achukuliwe hatua!
 
jamaa kafanywa mbuzi wa kafala,sasa polis mjifunze wanawatuma nyie walala hoi wao wakubwa wamekaa tuu ikitokea la kutokea unatolewa kafala peke yako.kazi kwenu polis mjifunze sasa
 
Picha Inaonyesha alikusudia Kuua!! Na ninavyojua Polisi Hufanya kazi kwa Amri!! Je nani alimtuma? Atakuwa Kumuhanda? Sijui Kama atakuwa Jasiri Kusema Ukweli!! Huwezi Kuwa na Hasira ya kutoa Maisha na mtu ambaye Hujagombana Naye Kama Hujutumwa!! - Tafakari!!
 
foul play nyengine hiyo, anashitakiwa kwa kosa la kuuwa, what abt asault ya wale askari nane kwa marehemu? hivi sheria gani ilioruhusu mwandishi kupigwa? kosa la kwanza ni la RPC yeye ndie mkuu wa pale na yote yametendeka kwa sababu ya kauli zake na order zake, achukuliwe hatua za nidhamu na kushitakiwa, let our legal system iamue ikiwa alikuwa guilty or not! la pili ni asault na grievous bodily harm kwa raia asiehusika, hii ni kwa wote askari wahusika, tatu ndio mauaji na hili pia sijui kama ni askari alierusha risasi pekee bali kwa kila aliechangia kufikia hatua hiyo. otherwise ni kiini macho jushutakiwa askari mmoja.

Note to take huyu kijana ni wa miaka 23, obvious hana elimu na hata hicho kidato cha nne inawezekana kabisa ni wale with fake certs! Mafunzo ya jeshi la polisi ndio yaliomfanya kufikia hatua ya kuua, jeshi la polisi zima lazima lifanyiwe reforms kubwa, kuanzia mafunzo, ethics na operations zake kuwa wazi. Kauli zao hazionyeshi ni profesional people, system nzima inahitaji mabadilko ya hali ya juu. Ipo haja ya kuwa na elected superintent akiwa na sifa hasa ya legal matters na management ili kuwe na balance kati ya operation za kipolisi na huduma za raia na kuweka usimamizi wa jeshi chini ya mikono ya wananchi zaidi.
ni kweli yote hayo mkuu,unaweza kuta alikua mgambo kachukuliwa tu kapewa bunduki ambayo hajawai ata kuitumia wala kufyatua risasi kwenye mafunzo basi akaona isiwe tabu akafanyia practise kwa daudi..dah inasikitisha sana..R.I.P
 
Nilitegemea hawa askari sita (ningemuondoa huyo mmoja aliyemkumbatia Mwangosi) wote wangeshitakiwa kwa mauaji ya Mwangosi pamoja na RPC Kamuhanda. Lakini serikali ya ccm imeamua kuwatukana watanzania kwa kumshitaki mmoja wao.

Hao wauaji wako Saba..bila kumsahau huyo askari kanzu ambaye wengi ni kama mnam-ignore. Yeye Kashika Bastola..huenda huyo dogo pacificus aliua kwa presha kwamba usipo-pull trigger nakupiga risasi.. AU labda ilikuwa Pacificus akikosa target yeye apige..Woooooote hao wanapaswa kufikishwa mbele ya sheria
 
Pia Ijulikane Huyu alifyatua Risasi ila **** waliokuwa wanamtesa kwa Physically wao wako wapi hapa?
 
September 12, 2012

BREAKING NEWssssssssMTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI AFIKISHWAMAHAKAMANI LEO IRINGA

Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani

Askari anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa ugumu.

Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa Pacificus Cleophase Simon (23

HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE

Huu ni uonevu wa kupindukia tunajua dhahir nini maana ya amri ukipewa na mkuu wako huna bud kutekeleza bila kuhoji na hii ndio sheria ya jeshi lolote dunian, Aliyeua hapa ni RPC mtoa amri kwani asingetoa amri daud asingewawa sasa wameamua kumtoa kafara kijana yule ili waonekane wanawajibika tuache uonevu huo jeshi la polisi mjiuzulu nyie wa ngazi za juu na mshatakiwe nyie msionee dagaa
 
Back
Top Bottom