Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

Mkuu nimecheka karibu nife, maana umepiga mkwara mzito. Hapo nakusudia yule afande aliyeshoot. Mwe, si ana miaka 23 yule? Afu mie ni Nyenyere mkuu sio Nyerere, Mia.

Hahaha hapo nimekusoma.. Sasa ninavyowajua polisi huyu dogo watamua asiseme mengi. ataugua gafla mahabusu na atakufa.
 
Huyu Jamaa kwa jina la ,Pasificus Cleophace, ana umri wa miaka 23, hana miaka mi 3 kazini, si huyu ni Bwa mdogo sana, sana sana atakuwa amemaliza form 4 2008 kuja juu, so kimsingi huyu Jamaa Details zake lazima zitakuwa NECTA, hata kama alipata zero, Uki Google jina la huyo Jamaa halipo sehemu yeyote, hiii ni proof kuwa hili ni CHANGA LA MACHO
 
September 12, 2012

BREAKING NEWssssssssMTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI AFIKISHWAMAHAKAMANI LEO IRINGA




Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani

Hamna kitu hapa Matola , na nitawashangaa sana wana Habari kama hawata Question huyo mtu aliyepelekwa Mahakamani akiwa amefunikwa funikwa kama Mwana Mwali vile
 
Last edited by a moderator:
Hawawezi kumwachia huyu bwana mdogo aende Mahakama ya Kiraia na afungwe Jela na waswahili wengine maana ataongea mambo mengi kuhusu Jeshi la Polisi, nina wasiwasi sana na huu utaratibu wanaoutumia Polisi kwenye hili.
 
Hamna kitu hapa Matola , na nitawashangaa sana wana Habari kama hawata Question huyo mtu aliyepelekwa Mahakamani akiwa amefunikwa funikwa kama Mwana Mwali vile

Kama ni kweli amefikishwa hapo Mahakamani akiwa amefunikwa inawezekana kabisa huyo ni mtu mwingine kabisa alikuwa kwenye hilo baibui lao kutimiza tu huo utaratibu wao ambao tangu hapo nimeshakuwa na mashaka makubwa na huo utaratibu.
 
Hapa nas'tahajabu kidogo. Kamati iliyoundwa na Mh waziri wa mambo ya ndani inafanya kazi gani wakti watuhumiwa wameshaanza kufikishwa mahakamani?

Hii si itakuwa kuingilia uhuru wa mahakama?

Ok yetu macho.
 
huu ni usanii mkubwa
sana, yaani wale wote walikuwa wanampiga tena kwa amri ya RPC ambayo
naye ameipata kutoka kwa IGP ambaye alishauriana na Nchimbi naamini,
halafu eti anakamatwa askari mmoja aliyefyatua bomu? huu ni usanii wa
hali ya juu, ni sawa na majambazi walioenda kuiba mahali halafu eti
polisi wamkamate yule aliyeingia ndani kuiba halafu hawa wengine walio
nje waachwe maana siyo wezi, are you serious? Kama watanzania na hasa
waandishi wa habari mtakubaliana na usanii huu basi tumekwisha.

Dont worry hao wengine wanakesizao kushiriki katika kosa na matumizi mabaya ya ofisi kwa RPC makosa ya jinai hata baada ya miaka 50 yako palepale ,iko siku na hawa wengine watapanda kizimbani tu time will tell
 
Dont worry hao wengine wanakesizao kushiriki katika kosa na matumizi mabaya ya ofisi kwa RPC makosa ya jinai hata baada ya miaka 50 yako palepale ,iko siku na hawa wengine watapanda kizimbani tu time will tell

najua yatakwisha tuitafufua maiti zao wote RPC, IGP na Kuzisomea hukumu, unless watubu leo leo. Maana hata waendako kumbukumbu zao zitabakia milele.
 
Back
Top Bottom