Mtuhumiwa kwenye orodha ya Ocampo 6 apoteza US $ 10 millions Uwanja wa Ndege | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtuhumiwa kwenye orodha ya Ocampo 6 apoteza US $ 10 millions Uwanja wa Ndege

Discussion in 'International Forum' started by mfianchi, Apr 15, 2011.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Kigogo mmoja wa tuhuma za mauaji katika orodha ya Ocampo 6 amepoteza mkwanja wa dola za kimarekani milioni 10 taslimu ambayo ni sawa na Ksh 840 milioni na pia ni sawa na hela yetu ya madafu Tsh bilioni 15,120,000,000.00 alipokuwa anarejea kutoka Hague uholanzi,hizo fweza alikuwa nazo kwenye mfuko wake na alishuka nao uwanja wa ndege lakini akausaha lounge ya VIP akiwakimbiliwa wapambe wake waliokuja kumlaki hiyo siku ya Jumatatu waliporudi,waliorudi hiyo Jumatatu walikuwa ni Uhuru Kenyata,Ruto na Sang.
  Nafikiri mpaka hapo msomaji utakuwa umeshajua ni nani mwenye hizo fwedha ,kwake huyo jamaa hiyo ni hela ya kununua mboga sokoni.Inasemekana alibeba dolali hizo hadi Hague kwa ajili ya kujiwekea bond iwapo angeaambiwa aweke bond,cha kushangaza ilikuwaje apite na maburungutu yote hayo hapo Hague kwenda na kurudi,kwa uwanja wa Jomo Kenyata hilo linawezekana kwani jamaa ndio kati ya wenye nchi na haguswi kwa lolote hapo Kenya,pia inashangaza kwa mtu msomi kubeba hela taslimu katika ulimwengu wa siku hizi,au hizo pesa ziliombewa Bagamoyo,hata basi angeshindwa kutumia benki basi angetumia M-Pesa,
  du acha bana mitu hii ina fweza,na jamaa wala hajatikisika ,akaenda viwanja vya Uhuru kujumuika na wapambe wake bila kuonyesha hisia zozote za kupoteza fwedha.
   
 2. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukisikia RADIO MBAO ndio hii,kwanza kiasi kikubwa cha pesa kama hicho hakiwezi kukaa mfukoni kama ulivyo sema,....au ni mfuko upi ndio unamaanisha????
   
 3. M

  Mkora JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mnachafua mpaka mnajenga
   
 4. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Source? Mkuu sidannganyiki hapo! mimi mwenyewe nikiwa na Laptop yangu kwenye basi hata wakati wa kuchimba Dawa huwa nashuka nayo!! iweje mtu asahau $10m Airport. Hii habari siwezi kuikubali hata unishikie bastola
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Tatizo la wabongo bana mumezoea kusoma magazeti ya udaku tu ya akina Shigongo,kwa habari zaidi soma gazeti la The Standard la Kenya la leo,kama hutaki kujua ukweli shauri yako kaka
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Soma gazeti la leo la The Standard la Kenya,kama unataka site ya hilo gazeti google kwa maana najua utakuwa unajua mambo ya kutafuta habari kwenye mtandao,nafikiri ukisoma ndio utajua kama ni porojo au ni kweli
   
 7. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyo atakuwa ni Uhuru Kenyata tu. Mzee Jomo Kenyattta alijitwalia raslimali nyingi sana za wakenya ambazo sasa hivi ziko chini ya wanafamilia wake. Inasemekana kuwa ardhi inayomilikiwa na wana familia wa Kenyatta ukiiunganisha kwa pamoja kuanzia Pwani hadi Rift valley na Central province inakaribia na ukubwa wa Jamhuri ya Burundi. Lakini kuna wananchi wanaoishi kwenye umaskini uliotopea kwenye vitongoji vya Kibera na mathare ambao pato lao kwa siku ni chini ya Sh 500 ya Tanzania.
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  dah! kazi kwelikweli... neways lbada ni za kwake.. sio kila mwenye mafweza ni fisadi
   
 9. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  hakuna mtu mwenye $10 b za kutembea nazo kenya nzima! Hiyo ni habari ya kupakana matope tu! Ni sawa na ile sumaye ana trilion 7 abroad kumbe hana hata cent huko! Siasa za maji taka
   
 10. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Naangalia KTN Now .. nikweli taarifa iliandikwa the gazeti hilo mdau alilosema.. but wanasema habari si ya kweli na wanaomba radhi..
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,139
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Yah,hii habari nimeisoma jamaa, alienda nazo incase kama alitakiwa kulipa bail...yani begi alisahau airport vip reception akaja kukumbuka 10 hrs later..tha dude is rich..sh billion 10 unaweza kuzisahau?
   
 12. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,806
  Trophy Points: 280
  Acha kukurupuka wewe! Hicho kiasi mbona kikubwa sana mkuu? Kwani kuweka Bond ni lazima iwe fedha taslimu jamani naomba msaada wenu wajuzi wa haya mambo!

  Kwa mtu kama Uhuru siyo rahisi kutembea na kiasi kikubwa hivyo cha fedha maana ni mtu msomi hivyo kwa akili ya kawaida tu huwezi kufikiria hivyo. Labda kama mleta thread umechanganya taarifa pengine ni dola milioni 1. ambayo kwa Kenya ni fedha kidogo tu unaweza weka hata kweney mfuko wa shati.
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Police are investigating the reported loss of hand luggage containing about Sh840 million in hard cash.

  The luggage was being carried by one of The Hague suspects at the Jomo Kenyatta International Airport. The police were told the bag had US$10 million in $100 bills. The bills had been tied in bundles and stuffed in the black bag he was seen carrying when he alighted from the plane. "He had it when he came, only his bodyguards have recorded statements.

  He fears the perception the public would have of him if it were revealed he had with him such huge amount of money. He has asked the police to keep it secret,'' a senior police officer told The Standard in confidence.

  When two of his bodyguards were questioned where they were when the bag disappeared, they explained to investigators they had gone to clear their boss' papers with airport staff.

  The bodyguards reportedly went looking for the bag on Monday evening – more than ten hours after the politician's arrival. They also later recorded statements explaining the circumstances in which they suspect the baggage went missing.

  Police sources at Criminal Investigations Department headquarters and JKIA revealed the bodyguards cited their boss, saying he forgot the baggage at the VIP Lounge II, as he left in a hurry to board his car on Monday.

  "They say the bag had a lot of money in US dollars and their boss left it in the lounge, went for a short call, came back, and sat for a short while before they stood up and left for the arrival area," said a police source, who asked not to be named because of the sensitive nature of the loss and the orders to keep the investigations close to their chests.
  The circumstances around the massive loss remain mysterious because surveillance cameras, according to police sources, only recorded the politician with the bag inside the VIP Lounge II, and when he changed his seat.

  But the Monday morning CCTV camera footage the police have been ordered to review meticulously record the politician sitting in the lounge with his bag, but does not capture what happened to the bulky hand luggage after he rose to go to the washrooms.


   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Amsterdam walipokelewa kama VIPs na hawakupitia maeneo ya kukaguliwa walishuka kwenye ndege na kuingia kwenye magari yaliyopack kwenye runway. Sishangai ila wanaweza kutia chumvi. Kwani wabunge waloambatana nao walikaa hotel za 5 stars na nasikia walisema wamejilipia wenyewe. But who knows the truth? Unaweza kuta Uhuru au Ruto amewalipia wabunge wote 40 bill za hotel na ticket za ndege. Those guys have money.

   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  no shida kubeba fedha, una-declare toka mwanzo wa safari kisha unasepa., BTW kwa shauri hili tutasikia mengi kwani ni shauri SPECIAL.
   
 16. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Shida ya wabongo wanapenda sana umbeya...

  Mfianchi acha umbea...
   
 17. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wajinga ndio waliwao.
   
 18. H

  Hute JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  wish was there to capture that luggage...hahaha, mguu moja kisogoni mmoja usoni..mbio hizi si mbio tena...
   
 19. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Hii habari ya kutunga.
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Uhuru denies losing Sh840m after Hague trip
  BY CHIKO LAWI
  Updated : 1days and 2 hours and 3 minutes ago
  Facebook Twitter Email Print
  null
  1/2Mr Kenyatta at The Hague court/File
  NAIROBI, Kenya, Apr 15 - Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta has strongly denied losing any cash upon returning from The Hague on Monday.

  In a statement, Mr Kenyatta has described the report of missing Sh840m as outrageous.

  He however said his aide lost a bag at the JKIA.

  Below is the full statement from his office.

  The front page article in 'The Standard' this morning is an atrocious falsehood and part of the current conspiracy to discredit the Deputy Prime Minister, Mr Uhuru Kenyatta. The description, the blogs (which specifically mention his name) plus the fact that only he reported a lost bag, make it very clear that the accusations are specifically against the DPM.

  His assistant left one of his bags on the plane on Monday morning when they arrived back in Nairobi. All his bags had been subjected to normal security screening and scanning in Amsterdam.

  When the assistant went back to look for it, it was missing and the matter was reported to Kenya Airways and the police. The contents were detailed to the police and they are still tracing this bag.

  USD10m in USD100 notes weighs 100 kg is 4 cubic feet and the bag was a small computer bag. This just confirms how ludicrous the report is.

  Carrying that amount of cash is in contravention of many laws and constitutes a serious crime. The most serious being money laundering, which legislation the DPM was instrumental in having passed.

  The statement was not verified with either the DPM, the police nor any other authority.

  The DPM has therefore instructed his lawyers to take immediate legal action against the Standard for publishing such atrocious false hoods and has reported the matter to the police and requested them to investigate the very serious crimes that are committed by anyone who makes such serious false accusations.

  The consequences of such accusations are even more serious as they would mean his contravention of the Court Order issued by the Judges of the ICC. It appears that the object of the false accusations was an attempt to seriously prejudice the DPM's position before the court in the Hague.

  It is extremely disappointing that there are forces that will go to such lengths and write such obviously false statements in order to discredit the DPM. It is of extreme concern that the media can publish such unverified falsehoods. It is very important that the police find and expose the persons behind these atrocious accusations and that the media are taken to task for publishing, what is so obviously, a malicious and false report.

  Munyori Buku
  Director of Communication
  Office of the Deputy Prime Minister and Minister for Finance  Read more: Capital FM Kenya: Uhuru denies losing Sh840m after Hague trip
  Under Creative Commons License: Attribution Non-Commercial No Derivatives
   
Loading...