Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo..

Kuna order imetoka kipaumbele walioshiriki ujenzi.

Sema sijui bado kuhusu uraiani kama watachukua au vipi.

Ikitokea wamechukua basi ni kupata wenye fani zitakazohitajika.

Wakiruhusu uraiani kutakua na scramble kwelikweli, maana vikosini kumebaki service ambao walikacha ajira za wizara ya mambo ya ndani wanalitaka baka.

Tangazo likija jaribuni, huwezi jua bahati yako ukatoboa usaili.
 
Eeee kaka nikujaribu tuu kotekotee tuu...
 
Kuna order imetoka kipaumbele walioshiriki ujenzi.

Sema sijui bado kuhusu uraiani kama watachukua au vipi.

Ikitokea wamechukua basi ni kupata wenye fani zitakazohitajika.

Wakiruhusu uraiani kutakua na scramble kwelikweli, maana vikosini kumebaki service ambao walikacha ajira za wizara ya mambo ya ndani wanalitaka baka.

Tangazo likija jaribuni, huwezi jua bahati yako ukatoboa usaili.

Vipi wewe hauna mpango wa kuomba..???
 
Daaah kaka sikuomba kk....minategemea magereza tu na hio jwtz tu

Tanapa idadi wanayotaka ilinikatisha tamaa kabisa kk
It's not over until it's over man.

Gangamala mpaka mwisho, ungejaribu tu hujui bahati yako ipo wapi man
 
-UANDIKISHAJI

Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: -

VIGEZO
Awe raia wa Tanzania
Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
Awe hajaoa/hajaolewa
Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
Awe na tabia na mwenendo mzuri
Awe na akili timamu na afya nzuri

MASHARTI YA UTUMISHI
Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Maafisa

Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
huwafanyia usaili Askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za Askari wapya (Recruitment Schools).
Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya Uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
kumbe jeshi la jw ajira zao za mkataba,ikitokea Cdf akakuchukia ndio mwisho wa ajira yako......Inamaana hata wale washtakiwa wenzake Mbowe wale wanajeshI kumbe nao kufukuzwa ilikuwa sahihi kwa kuzingatia kigezo cha mkataka wa miaka miwili miwili jeshini
 
Attention...
Screenshot_20211129-195236.jpg
 
-UANDIKISHAJI

Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: -

VIGEZO
Awe raia wa Tanzania
Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
Awe hajaoa/hajaolewa
Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
Awe na tabia na mwenendo mzuri
Awe na akili timamu na afya nzuri

MASHARTI YA UTUMISHI
Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Maafisa

Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
huwafanyia usaili Askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za Askari wapya (Recruitment Schools).
Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya Uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
Hili ni wewe una shauri au ndio tamko la jeshi ? .
mbona sijàoña sisi wa Standard Seven
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom