Mtu yeyote aliyepuuzwa CCM anaweza kuwarubuni wapinzani kiasi cha kusujudiwa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Igwe wanaJF

Habari za usubuhi watanzania wenzangu hapa Seoul. Katïka dunia hii ya ushïndanï usitegemee adui kukupa maarifa.Magufuli leo kawashinda mabeberu kwenye majadiliano kwa kutumia mbongo bora kutoka Tanzania na si kukodi mamluki.Naam mabwanyenye wenye viburi wanakimbia kazi zao.

Ajizi nyumba ya njaa.
 
Siasa za kibwege tu,Jana Kenya tuliwasifu mpaka shetani akakasirika,Leo wanabadili katiba tena,inawezekana tunaposomeana albadir tunasahau kuwa aliyekuja nayo alishaga tusomea.
 
Igwe wanaJF

Habari za usubuhi watanzania wenzangu hapa Seoul. Katïka dunia hii ya ushïndanï usitegemee adui kukupa maarifa.Magufuli leo kawashinda mabeberu kwenye majadiliano kwa kutumia mbongo bora kutoka Tanzania na si kukodi mamluki.Naam mabwanyenye wenye viburi wanakimbia kazi zao.

Ajizi nyumba ya njaa.
Kwa kuwa neno bwege siyo tusi!! Wewe ni mkuu wa mabwege wote hapo Lumumba fc. Na kinachokusumbua ni ushamba wa Madaraka wa kutokuwa na leadership ndani yake.

Ungekuwa japo na akili kidogo ungejibu hoja zake badala ya kumzodoa!! Je katiba mpya haihitajiki?! , Je bunge halikutiwa mfukoni?! Je watu hawapotezwi?! Je CCM inaisimamia serikali au ni kuunga tu mkono hoja hata za hovyo?!
 
Igwe wanaJF

Habari za usubuhi watanzania wenzangu hapa Seoul. Katïka dunia hii ya ushïndanï usitegemee adui kukupa maarifa.Magufuli leo kawashinda mabeberu kwenye majadiliano kwa kutumia mbongo bora kutoka Tanzania na si kukodi mamluki.Naam mabwanyenye wenye viburi wanakimbia kazi zao.

Ajizi nyumba ya njaa.

The problem is, that no matter where you work there's going to be people that are so dumb you wonder how the hell they remember to breathe every morning.
 
CCM huwapuuza watu wenye mawazo tofauti na wao sio kwa sababu ya maslahi mapana ya taifa bali ni Kwa maslahi yao binafsi. Hichi chama kilishapoteza mvuto kwa wananchi kitambo. Kama huamini polisi wakae pembeni uone kitakavyo dhalilika !
 
Hivi na wewe diaspora Rat Catcher unalo lolote la kuchangia kwenye jamvi la Issues au unafikiri hapa tunajadili Tissues(toilet paper)?!
 
Wamekimbia kwa pigo moja tu la majadiliano bora kutoka kwa wazalendo halisi, Wazungu wamekula hasara maana mtu waliekuwa wamempa hela ili apige kelele kuharibu mjadala jamaa wakamlissu na kumtengua kiuno. Wakashindwa maneno ya kuongea kwa kuwa info zote walikuwa wanapewa na huyu mzalendo wetu wa usaliti. Hatimae magwiji tukashinda. Usaliti kwa nchi hauwezi kuwaacha salama wajinga wote wanaoplan kukwamisha maendeleo ya nchi yetu.
 
Haitegemewi mumsifie nyalandu katika hili, iyo mipasho inategemewa sana.
Ule wimbo wa 'kuachws ni shughuli pevu' iwe dedikesheni kwa wanalumumba wote
 
Hakika huu Uzi unaonyesha kua CCM vilaza wamejaa sana..
Ivi mleta mada heading yako na main body vipo sawa?
 
Back
Top Bottom