Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

wana vikauli vyao wanakwambia "umeshindwa kuwa mwanaume, mwanaume hashindwi kuhudumia hata iwe vipi" na hapo haijalishi hata kama huko nyuma uliwahi kumnunulia Rolls Royce kabla mambo hayajaenda mlama.

Wanawake wa kibongo wana self-entitlement mentality mbaya sana.
Ni kama ambavyo ninyi mna imani mbaya sana juu ya mwanaume kumsaidia mkewe kufanya kazi za nyumbani yaani mimi nawaambia hapa mtalalamika hadi Yesu arudi lakini chanzo cha haya yote ni mgawanyo wa majukumu tu hakuna kingine
 
Na wewe usiwe msaliti wala mnyanyasaji kwa sababu yoyote ile
Sasa mke kama Madam S unaanzaje kumsaliti aisee, mtoto anajua nini kitu mapenzi namna hio. Hapo mida ya jiji letu tu nipo mjengoni yani nacheza na mdoli wangu.
 
Hivi mbona historia za waandishi wote wenye mafanikio zinaanzia kwenye kukataliwa na wachapishaji?

Maana Kiyosaki naye anadai RICH DAD POOR DAD ilikataliwa.

Ni coincidence tu au kamba?
 
Hivi mbona historia za waandishi wote wenye mafanikio zinaanzia kwenye kukataliwa na wachapishaji?

Maana Kiyosaki naye anadai RICH DAD POOR DAD ilikataliwa.

Ni coincidence tu au kamba?
Hata Stan Lee (RIP) anasema wakati anapeleka Comic yake ya spiderman alitimuliwa tana akiambiwa kua Watu wengi hawapendi buibui so haitauzika.

Niambie Leo kama kuna superhero anayependwa zaidi ya Spiderma
 
duuuh... asee kumbe!! kuna mabadiliko makubwa unayaona?
Uzuri nilishascreen shot comment yako; so uzito upo pale pale (kidding). Me nimemzoea a sweet lizarazu; all of a sudden namuona kawa bitter. Tusamehe kama tumekukosea
 
"mgawanyo wa majukumu" hii line unaipenda sana ila jinsi unayoitafsiri huwa napatwa na bumbuwazi.

Ni kama ambavyo ninyi mna imani mbaya sana juu ya mwanaume kumsaidia mkewe kufanya kazi za nyumbani yaani mimi nawaambia hapa mtalalamika hadi Yesu arudi lakini chanzo cha haya yote ni mgawanyo wa majukumu tu hakuna kingine
 
kwanini na wewe usichukue uamuzi sahihi mapema pale unapoona unanyanyasika sababu ya hela zake na badala yake unakaa unavumulia manyanyaso weweeee, halafu siku akiingia matatizoni ndio unaona ni wakati wako wa ku retaliate unavyojua wewe?
Sasa ndo kwanini mkipata matatizo msiende kwa hiyo hiyo michepuko yenu mliyokuwa mnaihonga kuliko wake zenu wakati hamna matatizo?
 
Hapana siombi hata kubadilika na the way nilivyo na ninavoishi najiona nina amani siwez kua mwengine kwa kweli na unavoniona hivi ni mama yangu mtupu
Dah, kama ni mke kweli jamaa yetu amepata aisee. Nasaha kama hizi huwezi kuzikuta kwa Slay Queen. Hongera sana kwa kutambua nini maana ya maisha...hii ni kwa mara ingine tena. Usije ukabadilika tu ukawa kama hawa wahuni wa mjini.
 
Sasa bora wewe unajua kuwa kwenye ndoa wote mwanaume na mwanamke wanapaswa kusameheana na kuvumiliana mimi nawazungumzia wale wanaume ambao wanataka wao wakifanya makosa wake zao wawasamehe na wawavumilie

Ila wake zao wakifanya makosa wao hawataki kuwasamehe wala kuwavumilia yaani ni lazima watafute adhabu yoyote ile ya kuwapa wake zao kati ya kuwapiga, kuwasaliti, kuwaongezea wake au kuwapa talaka kabisa na aina hiyo ya wanaume ni wengi na wanadai kuwa huo ndiyo uanaume je hiyo ni sahihi?
Oh, Sasa hili litakuwa nje ya mada kidogo mana hapa tunaongelea tabia ya kukomoana na kuto kutiana moyo kipindi cha hali ngumu ya maisha.

Ok kwa hilo siwezi kutetea hilo ni kosa na kwa nionavyo Mimi sio sahihi, kwasababu hakuna mtu asiye fanya kosa, mwanamke anapaswa kumheshimu mume na kumtii lakini si kuwa mtumwa kwa mume, mwanaume anapaswa kumpenda mkewe, kumpenda mtu Kuna maana kubwa sana ikiwa ni pamoja na kumheshimu na kumjali, kwa hivyo huwezi mfanya awe mtumwa kwako kwa kumfanyia mabaya kwa makusudi.
Iliposemwa uishi na mke kwa akili ilikuwa ni pamoja na kutambua majukumu yako kama mwanaume lakini pia uwe kiongozi kwa huyo mwanamke na familia yako kwa ujumla ndio maana ikasemwa kuwa mume ni kichwa cha familia.

Note, hili linawezekana kwa mwanamke anayekubali kuongozeka lakini kwa mwanamke mshindani halita wezekana.
 
Back
Top Bottom