Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,295
- 83,732
Ni kama ambavyo ninyi mna imani mbaya sana juu ya mwanaume kumsaidia mkewe kufanya kazi za nyumbani yaani mimi nawaambia hapa mtalalamika hadi Yesu arudi lakini chanzo cha haya yote ni mgawanyo wa majukumu tu hakuna kinginewana vikauli vyao wanakwambia "umeshindwa kuwa mwanaume, mwanaume hashindwi kuhudumia hata iwe vipi" na hapo haijalishi hata kama huko nyuma uliwahi kumnunulia Rolls Royce kabla mambo hayajaenda mlama.
Wanawake wa kibongo wana self-entitlement mentality mbaya sana.