Mtu wa 'mfumo'........

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Last year jamaa wa uveeceeceeemee alighushi gamba la watu wa mfumo akaingia hotelini akashindwa kulipia gharama akaweka gamba lake feki rehani.
1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last year jamaa wa uveeceeceeemee alighushi gamba la watu wa mfumo akaingia hotelini akashindwa kulipia gharama akaweka gamba lake feki rehani.View attachment 548456

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamani Lengai hujaacha tu?
Aaahhhh
Mungu amsaidie ni Kijana mwenye uwezo mkubwa sana kiakili, anaweza kujieleza vizuri mno. Ana guts za uongozi.sijui pepo gani linamfuataga huyu Kijana lol.
Shida IPO kwenye pesa na wadada.
My college mate.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom