Mtu wa kwanza kukutana naye kila unapotoka nyumbani kwako ndiye huashiria mafanikio ya huko uendako

Kuanzia leo kabla sijatoka nitakua nachungulia NJE kwanza nikiona mwanamme mwenzangu anapita karibu kwa geti NAMM huyoo ndukii
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom