Mtu wa kusupply mayai anahitajika

TEMBO WANGU KUNA MAMA MMOJA YUPO HAPA DAR ANAFUGA NA AMALISHIA CHAKULA CHETU NINA UHAKIKA NA UBORA WA MAYAI YAKE NITUMIE NAMBA ZAKO NIKUUNGANISHE NA MPATANE NA BEI KABISA.
 
Habari za saa hii , nahitaji watu ku suppliers wa mayai ya kisasa yaliyo quality, nahitaji kuanzia trays100,200, 300 na kuendelea , kila siku nb: Nipo dar kwa Mwenye nayo au anajua sehemu yanapo patikana basi ani P.M namba zake
 
Nipo Mbeya ninauwezo kwa siku tray 30 kwa anae hitaji no 0788871919.
 
Back
Top Bottom