georgemsengi
Member
- Sep 1, 2014
- 42
- 8
0788812958kwa 6000 trei 400-600 kila wiki nitafute
0788812958kwa 6000 trei 400-600 kila wiki nitafute
Bei ipo chini kidogo..naomba msaada kama yupo mwenye uwezo wa kuni supply trei 300-600 kwa wiki . bei ya trei nanunua 6000 ila uwe na uhakika wa mayai kupatikana mwaka mzima
0788812958
Natafuta mfugaji wa kuniuzia trey 100 au zaidi. Mm nipo dar
mkuu nitafute tufanye biashara.Mkuu mayai yapo 4500 kwa trey njoo Kibondo Kigoma uchukue mkuu kuanzia trey 10 nitakuuzia 4000
Nadhani ni vizuri unapoongea biashara kama uko serious uongee kwa kueleweka, yes bila shaka unaweza kupata mayai hata kwa chini ya bei hiyo inategemea mambo yafuatayo, na si kwa mayai tu nadhani hili jukwaa ni zuri kama tutaweza kulitumia kwa kufanya mambo ya maana, toa taarifa zifuatazo kama kweli unataka kufanya biashara:Naona biashara ya mayai inazidi kudharaulika,
mayai ya kuku au tutafute mayai mengine?Wakuu,
Naomba mtu ambaye anauza mayai kwa jumla trei kwa 5000.
Naitaji trei 30. Nipo Dar.
Ambaye anaweza kuniletea hapa dar aniambie au aniPM
nadhani alimaanisha ya njiwa!5000 mayai ya kuku au ya nini hayo!???
Being ni 7500 try. Nahitaji 50 try .unaniletea nipo pugu kajiungeni[/QUOT
Mie ninayo kama bado unaitaji nicherk 0655676299 kwa 7500 trey moja
Mie Niko dar unauzajeMimi ninayo mayai nipo dodoma... wewe upo wapi
Fuga na ww uone trey ya mayai nauza 10000Wakuu,
Naomba mtu ambaye anauza mayai kwa jumla trei kwa 5000.
Naitaji trei 30. Nipo Dar.
Ambaye anaweza kuniletea hapa dar aniambie au aniPM