Mtu wa kusupply mayai anahitajika

naomba msaada kama yupo mwenye uwezo wa kuni supply trei 300-600 kwa wiki . bei ya trei nanunua 6000 ila uwe na uhakika wa mayai kupatikana mwaka mzima
0788812958
 
naomba msaada kama yupo mwenye uwezo wa kuni supply trei 300-600 kwa wiki . bei ya trei nanunua 6000 ila uwe na uhakika wa mayai kupatikana mwaka mzima
0788812958
Bei ipo chini kidogo..
Unaweza ukapata supplier wakati fulani bei ikipanda atakuacha.
Ungekuwa 7000 ningekupa
 
Naona biashara ya mayai inazidi kudharaulika,
Nadhani ni vizuri unapoongea biashara kama uko serious uongee kwa kueleweka, yes bila shaka unaweza kupata mayai hata kwa chini ya bei hiyo inategemea mambo yafuatayo, na si kwa mayai tu nadhani hili jukwaa ni zuri kama tutaweza kulitumia kwa kufanya mambo ya maana, toa taarifa zifuatazo kama kweli unataka kufanya biashara:

1. Bidhaaa _ Mayai ya kuku? Kwale? Bata?
2. Tray ngapi kwa muda gani?
3. Mahali ulipo -
4. malipo yatafanyika vipi - terms of payment
5. kama kuna swala lolote kuhusu quality ya kitu unachotaka, yawe makubwa etc
6. Contact number and time

Nadhani ukianzia hapo utaweza kupata majibu yatakayokuwezesha kusonga mbele, maana kama wewe ni supplier pengine pi utatakiwa utoe taarifa huko katika muda fulani, kwa mfano kwa sasa huu mjadala wa biashara ndogo ya tray 100 kwa wili leo ni siku ya pili je huyo mteja bado anasubiri tu? mteja mwingine wa mayai ni Serena Hotel, anahitaji tray 270 kwa wiki, lakini hataki supply ya kukatika katika, nafahamu watu watatu waliojaribu hapo wameshindwa na bado mpaka hivi karibuni hakukua na mtu aliyepatikana. Pia kuna tender ya maparachichi kwa anayeweza ku supply atufahamishe, kwa sasa chakula kinalika sana mwenye shamba halali njaa, mimi nina ndimu na malimao kilo shs 5000, nina malimao pia,
 
Mimi ninayo mayai,naweza kukupatia tray 60 kwa week, na bei ni 7500 bei ya jumla.Makazi nipo Dar
 
Mm ninayo bei ni 7000 kwa trey. Uhakika wa kupata trey 300 kwa wiki upo. Nitafute 0712514004 tufanye biashara
 
Mm ninayo nauza 7000 trey. Uhakika wa kupata trey 300 kwa wiki. Nakuletea popote ulipo ndani ya dar
 
Mayai ya kienyeji Trey nauza elfu 12 kama uko tayari kwa biashara nifuate DM
 
Back
Top Bottom