Mtu wa kusupply mayai anahitajika

Tray 4800 mhhh ninayo siwezi supply. Tray kwa sasa bei ya jumla ni 8000
 
Mtu mwenye uwezo kwa kusupply trey 100 mara tatu kwa week. Kwa maana ya trey 300 kwa week. Kwa bei ya 4800 kwa trey anitafute kwa no 0657317631.
Uwe na uhakika wa kusupply huo mzigo kweli. Asanteni sana.
Wee ni mfugaji kweli? Hii bei haipo soko lolote sasa hivi. Labda useme umeagiza zile yai feki za kenya.
 
sasa c unaona hapo.. watu trey wanauza 9000 sasa hivi.. unataka trey kwa elfu 7500 na uletewe ulipo... pouwa ndugu asante kwa ushirikiano wako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom