ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,252
- 8,341
Unaongela hbr za mamlaka utadhani u mgeni......mnakera na post zenu za kijinga, eti wangeogelea....Kufa ni lazima kwa kiumbe CHOCHOTE kilichozaliwa vingine vinaepukika mfano kujaza abiria kwenye vyombo vya usafiri ni kosa lakini mamlaka huwa zimelala hazichukui hatua. Sasa huku Africa vtu vinatokea kizembe unasema ni mtego tena ndo mana huwa tunashindwa kuondoa matatizo