mtu umeguswa kidogo unasababisha foleni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtu umeguswa kidogo unasababisha foleni

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Jan 12, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  mia
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapo lazima jamaa aipige rangi yote!..
  Uzuri wa white hata rangi ya nyumba inakubali!
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lori linagusa?
  OTIS
   
 4. u

  utantambua JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dawa ya madereva wasio jali safe distance ndio hiyo akikugusa tu mpotezee siku nzima hapo kumsubiri traffic, next time atakuwa makini zaidi
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Na wewe huna kazi za kufanya au??
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  One hundred
   
 7. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Figanigga
  usizooee kuguswa ukatulia watakugusa kusikotakiwa utaendelea kutulia ukiamini wamekugusa tu kidogo MWISHO WANAKUGONGA
  watch out
  luv u br
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kimara mwisho hapo. Mia
   
 9. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Barabarani hakuna kuguswa tu. Kama wewe ni dereva umeajiriwa, unategemea ukirudi na kamchubuko bosi wako atakuwa mwepesi kama unavyoongea wewe hapa? Rekodi babu, CV ya suka ikichafuka kwa kosa la mtu mwingine neksti job not ize tu get
   
 10. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Eti Wifi,nambie kama Lori Linagusaga..Midubwashika Hiyo hainaga breki... Dai Chako baba, Corolla ni Gari kamavile Lori. wewe Unayesema anadekaHujui machungu ya kununua mkoko. ugiguswa kidogo is as if wamechokonoa kidonda cha moyo.. nunua lako uone..Manzese Makongoroni wanasema Lakisiohela seuze 100.
   
 11. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acha utani hakuna kuguswa barabarani
   
 12. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapo lazima kusubiri trafik apime ajali, alafu ukizingatia madereva wengi wa malori ya kubeba mchanga ni wababe sana wawapo barabarani yaani wana fujo siwapendi, Miaa
   
 13. u

  utantambua JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  umeongea pointi ya msingi sana.
   
 14. u

  utantambua JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Itabidi kazi zinisubiri tu si ndo dharura zenyewe hizo mkuu, isitoshe naweza kuwa dereva nimeajiriwa sasa fikiria kama nitaondoka kirahisi rahisi tu bosi atanielewa kweli?
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hii mahali kila siku 'wanagusana'
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  hahaaa...!!. Mkuu huu utakuwa uzalilishaji wa kijinsia. Mia
   
Loading...