Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya

Fuatilia vizuri ujue kilichotokea Jiwe alihakikisha kafukuzwa kazi na kaanza kufuatiliwa na TRA kafilisika hana hata kumi kila kitu alibambikiwa Kodi kama zote za mabilioni, yule mtu mwovu alikuwa na visasi kuliko mbwa na alifika stage akaona kama ana nafasi ya umungu flani hivi acheni Mungu aitwe Mungu kwa kumchukua maana amenyanyasa wengi sana
Siyo kweli..huyo alipanda cheo akaenda Tigo makao makuu kuwa Head of Government Business...wapo pia wengine Nao walikataa uteuzi kuna mmoja ni mwanasheria binafsi yeye alienda kituo cha kazi then akaresign baadae na kuna mwingine yupo ngo inaitwa ANSAF
 
Kwa mtu potential kazi ya ukuu wa wilaya ni very low!!
Very low, upewe wilaya kama Bahi au chemba kweli 😂😂😂 Hapo ujitahidi kutoa matamko ya kumfurahisha mukulu siku ukipigwa chini una maadui kila kona.

Ukuu wa wilaya ni heshima kama umepewa wilaya fulani fulani na katika uongozi fulani fulani, otherwise baki tu katika kazi ya awali.
 
Kwa VP alipoteuliwa na Rais Samia aliambiwa?

CCM mbele mbele

Kuhusu kama Dr. Mpango aliambiwa kabla au hakuambiwa sina ushahidi either way.

Ila, Bashiru alishasema kwamba alivyoteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi alikuwa hajaambiwa na Magufuli, alisikia kwenye vyombo vya habari, na hili lilishatajwa awali, kwa hiyo kuna ushahidi wa wazi kwamba Magufuli alikuwa anafanya hivi.

Sina ushahidi wa wazi hivyo kuhusu uteuzi wowote wa rais Samia Suluhu Hassan.
 
Katika Historia, ndugu Ally Masoud Maswanya ndio Mtu pekee alikataa Uteuzi wa Rais Magufuli.

Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya lakini siku ya kwenda kuapa hakutokea. Walipompigia simu akaape, akasema yupo Ofisini anadeal na wateja wake.

Alikuwa Msimamizi wa Kampuni ya Tigo kanda ya Ziwa. Sijui sasa hivi yupo wapi na anafanya nini.

Pia Soma: Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu
Angeacha Pesa aende kwenye stress za udc....
 
Mara ya mwisho kukutana na huyu mwamba ilikua 2017 mtaa wa Uhuru Mwanza.
Ofisi yake nakumbuka ilikua Almasi Tower Nyerere load ukouko Mwanza.
Mtu smart sana alafu muelewa,kwasasa sijui yuko wapi huyu kiumbe.
Hii Nyerere load sijui itakuwa upande gani bhagosha...au itakuwa ukouko Mwanza...
 
Kuhusu kama Dr. Mpango aliambiwa kabla au hakuambiwa sina ushahidi either way.

Ila, Bashiru alishasema kwamba alivyoteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi alikuwa hajaambiwa na Magufuli, alisikia kwenye vyombo vya habari, na hili lilishatajwa awali, kwa hiyo kuna ushahidi wa wazi kwamba Magufuli alikuwa anafanya hivi.

Sina ushahidi wa wazi hivyo kuhusu uteuzi wowote wa rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mujibu wa katibu mkuu kiongozi mpya, Bw. Hussein Katanga, hata yeye hakujua.

Akiwa anajiandaa kurudi zake Japan alikokuwa ni balozi wetu, aliambiwa aende Dodoma [naamini alikuwa yuko Dar kwa wakati huo].

Sasa akiwa uwanja wa ndege [again, nasadiki ni ule wa Dar] akisubiri kupanda ndege aende Dodoma, akaona kwenye runinga kuwa kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi!

Bashiru yeye alijulia kwenye social media. Huyu kajulia kwa kuangalia runinga akiwa uwanja wa ndege.

Same M.O. as her predecessor.

Huyu hapa katibu mkuu kiongozi kwa maneno yake akielezea alivyojua kupitia runinga.

Anzia dakika ya 2:22 hadi 3:17.

Personally I don’t dig that style. Kumteua mtu bila kufanya naye consultation sijui naonaje tu.

Jist doesn’t sit well with me.

I can’t hire someone without talking to them.

To me it’s seems to be the right thing to do to talk the person first and/or give them a heads up that you might pick them.

This could be one those ‘only in Tanzania’ things...
 
Mimi naona kama wanaotegemea mabadiliko makubwa kutoka kwa huyu rais mpya wanaweza kupata mabadiliko cosmetic ya presentation lakini wakabaki kupewa u Magufuli uleule.

Samia Suluhu Hassan akiwa VP alishawaambia watu kwamba waichague au wasiichague CCM, itashinda tu.
 
Duuuu huyu alikuwa mwamba

Back
Top Bottom