Mtu mzima Kutembea ukiwa umevaa au kuning'iniza headphone mitaani Ni ujuha na ushamba

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Habari wanabodi,

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hii Tabia ya watu Kutembea barabarani wakiwa wamevaa headphones wakisikiliza mziki au Redio, inastaabisha kwa mtu mzima 35s na kuendelea naye anakomaa kuyavaa haya madude aaah!

Tuwaachie vijana wa form two maana wapo kipindi Cha barehe ili kuwa keep busy! Pia nao waeleweshwe kwamba sikila mahali zinatumiwa!
 
Kama wewe ni mtu wa "bush" utaona ni ushamba ila kwa mtoto wa mjini ambaye yupo busy na hana muda wa kupumzika na hategemei "kijumba cha urithi" anasikiliza BBC, VOA na DW akiwa mtaani huku shughuli nyingine zikiendelea lakini bila ku-disturb (kusumbua) watu wengine.
 
kama wewe ni mtu wa "bush" utaona ni ushamba ila kwa mtoto wa mjini ambaue yupo busy na hana muda wa kupumzika na hategemei kijumba cha uridhi anasikiliza BBC, VOA NA DW akiwa mtaani huku shughuli nyingine zikiendelea lakni bila ku-disturb watu wengine
Ushasema mtoto wa mjini upo sahihi, ila kwa mtu mzima haipendezi ndo maana tunashauri mnunue magari Kama niredio sikilizia humo humo kwenye gari! Ni maneno magumu ila Yana udhi!
 
Luna Sheria Yoyote anayovunja kwa yeye MTU was miaka 35 na zaidi kuvaa 'hayo madude'?

Hakuna?

Anafanya mile ambacho moyo wake Unapenda na ili mradi kuvaa kwake 'hayo madude' hakukufanyi were ukakosa Ugali wako was Sikh, Muachee, na Shika lako Khakhaa!!
 
Mtoa mada kuna watu wana tabia au hobby zao za music so wanapokuwa idle wanapenda kusikuliza msiki.

Kwa kuwa hawavunji Sheria yeyote achana nao usipende kufuatilia mambo madogomadogo ya watu wengine wanakuwa wanasikiliza Mambo ya msingi na muhimu ili kukuza uelewa wao.

Mimi binafsi nachukia watu wanaosikiliza mambo yao binafsi kwenye public kwa kutumia loud speakers.

Halafu inaonekanekana hujatembea nchi zilizoendelea ambapo ukipanda kwenye ma tubes yao unakuta kila mtu yupo busy either Ana headphones, earphones au Bluetooth anasikiliza kitu au Ana kitabu ,jarida au kitabu anasoma.

Tembea ujifunze ndugu na acha kuwa na mawazo ya kijima hautaendelea kamwe
 
Back
Top Bottom