Mtu mweusi: Haya ndio matatizo na laana za mtu mweusi

sido9797

Senior Member
Aug 15, 2018
160
84
Hamna kitu cha muhimu na msingi kama kujikubali kwa sababu ndio msingi wa wengine kukubali na kukuona wa thamani. Rangi nyeusi kabla na baada ya kristo ilidharaulika licha ya kupata watu mashuhuli wenye rangi nyeusi kama Ben carson, Martin luther,Nelson mandela,Mwl Nyerere n.k

Lakini toka nimekua rangi nyeusi imekua na maajabu kwa mambo yake licha ya baadhi yao kuwa makini na kuleta sifa haswa kupitia michezo kama basketball,boxing na football n.k xvideos a.k.a pono hyo cjui km nmchezo lkn hii rangi kwa hayo mambo usipime.

Haya ndio matatizo na laana za rangi nyeusi :-
1.Mwizi
2.Msaliti
3.Mchoyo
4.Akipata wengine anaona wajinga(mjinga)
5.Akitawala anasahau wenzake(hajui kutawala) akiongoza anatazam mbele kama umeanguka polee.
6.mbinafsi
7.Hana akili
8.Hapendi wenzake,anataka kufanikiwa yeye,na akipata wengine mafala mlimnyonya(ubinafsi)
9.Hajui kitu halafu mnafiki(unafiki)
10. Kumi na mwisho hii ndio laana sasa ngono,mapenzi,chura tigo 75% anawaza ngono iwe kazini au mahali popote anawaza apate wapi chura kali atumie.

Hembu sema na wewe matatizo na laana unazozijua za rangi nyeusi.
Hivi kumbe na mimi ni mweusi cc mablack tunamatatizo et nawasemaa tenaa wenzangu
 
Naona umejitekenya kisha ukacheka mwenyewe, mimi ni mtu mweusi na Sina Lana tusilazimishane.

Samaki mmoja akioza unamtupa Kaka hutupi kapu zima. Kuna ubinafsi unaozidi kujibinafsisha nafsi ya mtu na kumfanya kitendea kazi chako?

Kuna wizi zaidi ya kuihamisha utahiri wa madini wa Tanzania, Congo DRC, Angola, Africa Kusini nk.

Kuna unafki Kama wa kumuambia binadamu mwenzio nakupenda wakati unampandikizia magonjwa ya ajabu? Rejea UKIMWI, EBOLA (wakongoman wamekua wakila nyani miaka dahari hiyo Ebola ilikua wapi?)

Uchoyo! Uchoyo ni nini hasa kula na kusaza wakati wengine wakishindia maji , kahawa na kashata? Au inamaanisha uchoyo upi? Kumbuka kabla ya kuja kwa ukoloni jamii za Kiafrika ziliishi kijamaa, rejea vitabu vya maisha ya Africa kabla ya ukoloni.

Dhana ya the FITTEST SURVIVE ni dhana ya kikoloni si ya kwetu. Dhana ya DIVIDE AND RULE si dhana ya Kiafrika.

Unapozungumzia ubaguzi wale waliotuchorea mistari Afrika nzima ndio walioamua kuleta ubaguzi na sio sisi.

Wale wanaowatupia vijana wetu wacheza mpira ndizi wakiwa uwanjani hao ndio wabaguzi rejea kisa cha Samweli Etoo, Alhaji Duof, Mario Baloteli.

Wale walioleta Apathed wakasababisha mauaji ya Soweto, na kuweka mitaa ambayo mtu mweusi hatakiwi kukatisha ndio wabaguzi.

Waliomchukua Sarah Baatman na kumfanya sehemu ya maonyesho ndio wabaguzi na washenzi.

Soma kitabu kimoja kinaitwa HOPE FOR RWANDA cha Andrew Sebomana, Soma makala ya Habibu Hanga, MIFEREJI YA DAMU. Tizama wabelgiji na wafaransa walivyo engeneer ukabila nchini Rwanda.

Hivyo unapotuambia habari ya sisi kulaaniwa au tumelaanika!
 
Aisee bimesahau msumari mmoja kwenye jeneza.

Hivi unajua keep la baada ya nusu saa St Gabriel Valley nchini Marekani (sina uhakika najina) wanatoa pilau moja.

Hivi wajua mwanzilishi wa PlayBoy Magazine alikua mmarekani. Hivi unajua maisha ya ngono ya watu wa Latin America, Ufaransa.

Kaka huna laana wewe. Usijiatukie.
 
Hamna kitu cha muhimu na msingi kama kujikubali kwa sababu ndio msingi wa wengine kukubali na kukuona wa thamani. Rangi nyeusi kabla na baada ya kristo ilidharaulika licha ya kupata watu mashuhuli wenye rangi nyeusi kama Ben carson, Martin luther,Nelson mandela,Mwl Nyerere n.k

Lakini toka nimekua rangi nyeusi imekua na maajabu kwa mambo yake licha ya baadhi yao kuwa makini na kuleta sifa haswa kupitia michezo kama basketball,boxing na football n.k xvideos a.k.a pono hyo cjui km nmchezo lkn hii rangi kwa hayo mambo usipime.

Haya ndio matatizo na laana za rangi nyeusi :-
1.Mwizi
2.Msaliti
3.Mchoyo
4.Akipata wengine anaona wajinga(mjinga)
5.Akitawala anasahau wenzake(hajui kutawala) akiongoza anatazam mbele kama umeanguka polee.
6.mbinafsi
7.Hana akili
8.Hapendi wenzake,anataka kufanikiwa yeye,na akipata wengine mafala mlimnyonya(ubinafsi)
9.Hajui kitu halafu mnafiki(unafiki)
10. Kumi na mwisho hii ndio laana sasa ngono,mapenzi,chura tigo 75% anawaza ngono iwe kazini au mahali popote anawaza apate wapi chura kali atumie.

Hembu sema na wewe matatizo na laana unazozijua za rangi nyeusi.
Hivi kumbe na mimi ni mweusi cc mablack tunamatatizo et nawasemaa tenaa wenzangu

Matatizo mengi sana ya Watu weusi yanatokana NA kuwepo KWA AKILI Mbovu miongoni mwao au Matumizi Mabaya sana ya AKILI walizonazo

1.Takribani 80% ya Watu weusi wote duniani wanatumia UWEZO WA AKILI zao, yaani UWEZO WA kufikiria usiozidi asilimia kumi (10%) ya UWEZO wao wote wa kufikiri waliojaliwa NA Mungu kkwa maisha yao yote yabhapa duniani.
MTU mweusi tangu anazaliwa hadi anakufa anatumia kiwango kisichozidi 10% ya UWEZO WA AKILI yake yote, Na akiacha 90% ya AKILI yake yote anakufa nayo bure bila kutumika.
Idadi kubwa zaidi ya Watu hao zaidi ya 90% wanapatikana ktk bara LA Afrika, wachache wanapatikana Latin America, NA wachache zaidi kabisa wanapatikana ktk mabara NA nchi zingine hapa duniani.Almost all are living below the Poverty Line, or slightly above the poverty line.

2.Takribani asilimia kumi NA tank (15%) ya Watu weusi wote duniani, wanatumia UWEZO wao wa AKILI zao zote kati ya 11% hadi 60% KWA maisha yao yote hadi wanapokufa.Wengi WA Watu hao wanaishi nje ya bara LA Afrika, wachache sana wanaishi ktk bara LA Afrika, ndio wanaomiliki sehemu kubwa ya uchumi ktk bara hili. Vile vile, wengi wamekuwa aidha wameelimika vya kutosha, wana chimbuko LA mchanganyiko wa damu/machotara, wana exposure kubwa sana NA nchi mbalimbali za dunia ya kwanza, au wana kipaji cha UWEZO mkubwa binafsi WA kufikiria NA ubunifu.

3Takribani 5% tu ya Watu weusi wote duniani ndio ambao wanatumia UWEZO wao wote wa akili KWA kiwango kikubwa, zaidi ya 60% hadi 100% ya UWEZO wao WA kufikiri KWA maisha yao yote ya hapa duniani.
Watu weusi wa namna hii wanaishi maisha ya daraja LA juu kabisa hapa duniani kutokana NA shughuli zao halali wanazofanya kwa kutumia akili zao kama vile biashara, uandushi WA vitabu, ujasiriamali, ubunifu ktk Sayansi na Teknolojia, au mchanganyiko wa shughuli hizo, n.k., n.k.
 
Unajua mpaka kufikia kiwango cha kuwaza ngono mda mwingi maana yake kichwa cha chini kina ubongo wake unaojitegemea ukiachana na ubongo mkuu
 
Hawa weteuliwa wa awamu hii wanafanya mleta mada atujumuishe ngozi nyeusi wote,ngozi nyeusi tutapataje heshima kama wenye mamlaka ndio hao kina chalamila na kina bashite
 
Hamna kitu cha muhimu na msingi kama kujikubali kwa sababu ndio msingi wa wengine kukubali na kukuona wa thamani. Rangi nyeusi kabla na baada ya kristo ilidharaulika licha ya kupata watu mashuhuli wenye rangi nyeusi kama Ben carson, Martin luther,Nelson mandela,Mwl Nyerere n.k

Lakini toka nimekua rangi nyeusi imekua na maajabu kwa mambo yake licha ya baadhi yao kuwa makini na kuleta sifa haswa kupitia michezo kama basketball,boxing na football n.k xvideos a.k.a pono hyo cjui km nmchezo lkn hii rangi kwa hayo mambo usipime.

Haya ndio matatizo na laana za rangi nyeusi :-
1.Mwizi
2.Msaliti
3.Mchoyo
4.Akipata wengine anaona wajinga(mjinga)
5.Akitawala anasahau wenzake(hajui kutawala) akiongoza anatazam mbele kama umeanguka polee.
6.mbinafsi
7.Hana akili
8.Hapendi wenzake,anataka kufanikiwa yeye,na akipata wengine mafala mlimnyonya(ubinafsi)
9.Hajui kitu halafu mnafiki(unafiki)
10. Kumi na mwisho hii ndio laana sasa ngono,mapenzi,chura tigo 75% anawaza ngono iwe kazini au mahali popote anawaza apate wapi chura kali atumie.

Hembu sema na wewe matatizo na laana unazozijua za rangi nyeusi.
Hivi kumbe na mimi ni mweusi cc mablack tunamatatizo et nawasemaa tenaa wenzangu

Yote uliyotaja yapo kwennye races zote!

Sasa wewe unachofanya ni self hate!

Hiyo ni hatari zaidi!

You are a black man,why self hate yourself?

Kila race ina mapungufu yote haya na zaidi!
 
Aisee bimesahau msumari mmoja kwenye jeneza.

Hivi unajua keep la baada ya nusu saa St Gabriel Valley nchini Marekani (sina uhakika najina) wanatoa pilau moja.

Hivi wajua mwanzilishi wa PlayBoy Magazine alikua mmarekani. Hivi unajua maisha ya ngono ya watu wa Latin America, Ufaransa.

Kaka huna laana wewe. Usijiatukie.
Walatino ni balaa ngono kwao ni kama unavyoenda kununua unga dukani,bila kumsahau mtaliano
 
Ni kweli kabisa Watu Weusi ni TATIZO DUNIANI.

Suala tu la kuachwa na Mkoloni kwa miaka mingi sana lakini mpaka leo hii tunatumia reli yao ya mwaka 1912, barabara walizobuni wao, majengo yao Imara zaidi, mfumo wao wa uongozi ni LAANA

Suala la kutokuwa na teknolojia yoyote iliyogunduliwa na mtu mweusi inayotumiwa na watu wengine duniani kama ugunduzi wa redio, simu, feni, TV, Computer, internet, games technology, ubunifu wa ndege, Gari, na vehicles zote, Architecture, Civil engineering, Botanics, Astronauts, Advanced agriculture technology, literature etc ni LAANA.

Hata materials tunayosoma yametoka kwa watu weupe.

Watu weusi wengi ni Wapuuzi na Wajinga.

Wamejaliwa tu kuongea hooovyo na MAJUNGU.
 
Hamna kitu cha muhimu na msingi kama kujikubali kwa sababu ndio msingi wa wengine kukubali na kukuona wa thamani. Rangi nyeusi kabla na baada ya kristo ilidharaulika licha ya kupata watu mashuhuli wenye rangi nyeusi kama Ben carson, Martin luther,Nelson mandela,Mwl Nyerere n.k

Lakini toka nimekua rangi nyeusi imekua na maajabu kwa mambo yake licha ya baadhi yao kuwa makini na kuleta sifa haswa kupitia michezo kama basketball,boxing na football n.k xvideos a.k.a pono hyo cjui km nmchezo lkn hii rangi kwa hayo mambo usipime.

Haya ndio matatizo na laana za rangi nyeusi :-
1.Mwizi
2.Msaliti
3.Mchoyo
4.Akipata wengine anaona wajinga(mjinga)
5.Akitawala anasahau wenzake(hajui kutawala) akiongoza anatazam mbele kama umeanguka polee.
6.mbinafsi
7.Hana akili
8.Hapendi wenzake,anataka kufanikiwa yeye,na akipata wengine mafala mlimnyonya(ubinafsi)
9.Hajui kitu halafu mnafiki(unafiki)
10. Kumi na mwisho hii ndio laana sasa ngono,mapenzi,chura tigo 75% anawaza ngono iwe kazini au mahali popote anawaza apate wapi chura kali atumie.

Hembu sema na wewe matatizo na laana unazozijua za rangi nyeusi.
Hivi kumbe na mimi ni mweusi cc mablack tunamatatizo et nawasemaa tenaa wenzangu
UWAZAVYO NDIVYO ULIVYO! HII NI TABIA YAKO KABISA!

NO 5 WENZAKE WA NINI? WAKAFANYE KAZI KWA JUHUDI NA MAARIFA, SI KUKARIBISHA MAJUNGU IKULU. SIYO KIJIWE KILE CHA UNAFIKI!
HAYA! HAYA! YA KIJIWE YALIWAMALIZA KABILA, P.LUMUMBA, S. DOE T.SANKARA WALIUAWA NA RAFIKIZEWE?,

KABILA LAKO TAFADHARI!.........

NO 10 MAPENZI NI LAANA? KWELI? SASA... UNATAKA CHUKI?
BILA WATU WAWILI KUNGONOKA BAFUNI WEWE UNGEKUWA HAPA? UNAJUA MAANA YA ;

1.Watu
2.Ardhi
3 Siasa safi
4.Na uongozi bora?

No1 Dhahabu, Almas yenu serikali yako inapata asilimia ngapi? sasa hapo nani mwizi?
No2 Sadam, M.Gadaffi, Trump, Drey fuss walisalitiwa na Mweusi?
No3 Yaani hata kuishi nao ujirani hawataki,

Shukuru Mungu kupata , Elimu hii yako bure kupitia mpango wa UPE, na St. Kayumba. some people mnataka nini? yaani ukapige soga Ikulu?
si ndo mwanzo wa kuniita Dhaifu?

Badilisha sena binadamu
 
Ni kweli kabisa Watu Weusi ni TATIZO DUNIANI.

Suala tu la kuachwa na Mkoloni kwa miaka mingi sana lakini mpaka leo hii tunatumia reli yao ya mwaka 1912, barabara walizobuni wao, majengo yao Imara zaidi, mfumo wao wa uongozi ni LAANA

Suala la kutokuwa na teknolojia yoyote iliyogunduliwa na mtu mweusi inayotumiwa na watu wengine duniani kama ugunduzi wa redio, simu, feni, TV, Computer, internet, games technology, ubunifu wa ndege, Gari, na vehicles zote, Architecture, Civil engineering, Botanics, Astronauts, Advanced agriculture technology, literature etc ni LAANA.

Hata materials tunayosoma yametoka kwa watu weupe.

Watu weusi wengi ni Wapuuzi na Wajinga.

Wamejaliwa tu kuongea hooovyo na MAJUNGU.
Acha ujuha we jamaa mtu mweusi amegundua vitu vingi tu! Mbona?

Mojawapo ni GPRS pamoja na traffic light

Isitoshe mtu mweusi ndyo founder wa almost vifaa vyote vya muziki vinavyotumika Leo hii!

Watu weusi changamoto yetu kubwa ni kukosa uongozi madhubuti hyo yote uliyoyaainisha yanaweza patiwa ufumbuzi km tukipata viongozi wanaojielewa.

Sijawahi na sitawahi kuamini kuwa eti mzungu ana akili nyingi kushinda binadamu wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu cha muhimu na msingi kama kujikubali kwa sababu ndio msingi wa wengine kukubali na kukuona wa thamani. Rangi nyeusi kabla na baada ya kristo ilidharaulika licha ya kupata watu mashuhuli wenye rangi nyeusi kama Ben carson, Martin luther,Nelson mandela,Mwl Nyerere n.k

Lakini toka nimekua rangi nyeusi imekua na maajabu kwa mambo yake licha ya baadhi yao kuwa makini na kuleta sifa haswa kupitia michezo kama basketball,boxing na football n.k xvideos a.k.a pono hyo cjui km nmchezo lkn hii rangi kwa hayo mambo usipime.

Haya ndio matatizo na laana za rangi nyeusi :-
1.Mwizi
2.Msaliti
3.Mchoyo
4.Akipata wengine anaona wajinga(mjinga)
5.Akitawala anasahau wenzake(hajui kutawala) akiongoza anatazam mbele kama umeanguka polee.
6.mbinafsi
7.Hana akili
8.Hapendi wenzake,anataka kufanikiwa yeye,na akipata wengine mafala mlimnyonya(ubinafsi)
9.Hajui kitu halafu mnafiki(unafiki)
10. Kumi na mwisho hii ndio laana sasa ngono,mapenzi,chura tigo 75% anawaza ngono iwe kazini au mahali popote anawaza apate wapi chura kali atumie.

Hembu sema na wewe matatizo na laana unazozijua za rangi nyeusi.
Hivi kumbe na mimi ni mweusi cc mablack tunamatatizo et nawasemaa tenaa wenzangu
Kila race ina majanga yake tembea uone mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujuha we jamaa mtu mweusi amegundua vitu vingi tu! Mbona?

Mojawapo ni GPRS pamoja na traffic light

Isitoshe mtu mweusi ndyo founder wa almost vifaa vyote vya muziki vinavyotumika Leo hii!

Watu weusi changamoto yetu kubwa ni kukosa uongozi madhubuti hyo yote uliyoyaainisha yanaweza patiwa ufumbuzi km tukipata viongozi wanaojielewa.

Sijawahi na sitawahi kuamini kuwa eti mzungu ana akili nyingi kushinda binadamu wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hata kuandika vizuri hujui we Kunguni halafu unaniquote kiboya

Ndyo = Ndio

Hyo = Hayo

Yaani unapingana na ukweli na uwazi lakini haitosaidia. Kwani kuwa na Uhuru kwa zaidi ya miaka 55 na kuendelea kuwa Masikini na kukosa uongozi bora sio Upumbavu kabisa?

Juha ni wewe unayepinga ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ulizoziorodhesha kuwa ni laana za mtu mweusi,mbona ni sifa za dingi yako na ukoo wenu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom