Mtu mweusi alitoka wapi?

@ Easymutant itakua biblia inadanganya maana. Wakati wa adam na hawa hapakua na camera sasa walipatikanaje kupigwa picha? Hizo ni propaganda za wazungu kutaka kuwatawala watu kimawazo na waafrika wameshatawaliwa.

Ktk lugha ya kiarabu neno "adam" maana yake ni kitu cheusi. Kwa hiyo yule aliitwa adam kwakua alikua mweusi.

Ukitaka kuelewa kila jambo. Nakushauri ingia ktk uislam au soma qur-an kwa undani utapata mpaka historia ya kweli sio ile iliyochafuliwa kwa maslah ya wazungu.
Sasa kama adamu alikuwa mweusi vipi sasa mtu mweupe naye alitoka wapi? Maana mweusi na mweusi awezi kuzaa mweupe au mwarabu jibu swali ilo usi jifanye eti dini yako tu ndo ya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigwa jua genes zikabadilika
Hahahaha kuna Waarabu kama UAE kuna jua hatari lakini Warabu weupe wamebaki na rangi Yao na Waarabu weusi na rangi yao hii nadhani inakosa spices kujenga ushahidi. Ukifika Pakistani kuna Kabila mji Una Kabila Moja Baroushi ni weusi utadhani Wazambia
 
naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana
Naomba lisiwe na chembe za udini japo source yake imetoka kwenye bible bible hivi..
Nikiwa nimekulia na kulelewa katika mazingira ya dini ya kikiristo tulikuwa tukionyeswa vitabu
Na vitabu amabayo tulikuwa tunafundishiwa ni vile vyenye picha za adam na hawa na wengine wote ambao inaonyesha kwamba

Walikuwa ni watu weupe ambao niliamini niwazungu. Sasa najiuliza kama original ya adam na hawa walikuwa ni wazungu na ndio tunaaminishwa kwamba walikuwa ni wanadamu wa kwanza
Kabisa kuishi duniani je mie mtu mweusi nilitoka wapi? Maana siamini mzungu na mzungu wanaweza kuzaa mtu full black kabisa.

Kingine kinachonichanganya je zamani waliruhusiwa kaka na dada kuoana? Maana kama adamu na hawa ndo wakwanza it means waliozaliwa ni watoto je walijijenerate namna gani
Na isitoshe waliozaliwa tunaambiwa walikuwa wa jinsia moja wanaume tupu sasa hapo ndo sielewi kabisa msaada jamani!!!
Ipo hivi kama binadamu ametokea kutokana Na nyani from nyani to mtu
Basi ni rahisi kutoka white to black
Inaitwa gene mutation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom