Mtu mwenye Shahada ya sayansi ya utunzaji nyuki anaweza kuajiriwa Serikalini?

honey bee

Senior Member
Nov 23, 2021
139
231
Naombeni kuuliza!!
Hivi kwa mtu aliyechukua B's in bee keeping science, anaweza kupata ajira serikalini atakapohitimu???
Au mtaji wa yeye kujiajiri ni kama kiasi gani cha pesa????
Na mikoa ipi ina favour uzalishaji wa asali???
 
Naam mkuu ndio maana Serikali ikawa na chuo kabisa Tabora
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom