divanology
Member
- Mar 23, 2019
- 39
- 48
Kunauwezekano kwa mtu mwenye division IV ya 26 kwenda kusoma kidato cha tano kama atakuwa na credit y aani Ana c3 d3 na f1?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandikishe na ulogin hapa: http://selform.tamisemi.go.tzKunauwezekano kwa mtu mwenye division IV ya 26 kwenda kusoma kidato cha tano kama atakuwa na credit y aani Ana c3 d3 na f1?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana mkuu ngoja nipitie nipate mwongozoJiandikishe na ulogin hapa: http://selform.tamisemi.go.tz
Click eligibility utapata jibu.
Private ruhsa sababu wanaangalia credit 3 tu ila serikalini haiwezekana maana lazima uwe na division 3,2,1 tu na uwe na credit 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata matokeo hayo nikachaguliwa second selection, japo sikwenda. Labda kama siku hizi wamebadilisha
2012Mwaka gani mkuu ulichaguliwa?