Mtu mwenye diploma in education katka masomo ya biology na chemistry kusoma degree ya biotechnology and laboratory au kusoma molecule biology

Nov 21, 2019
28
10
Natanguliza shukuran;
Ndugu mm nimehitimu 2018 Diploma in secondary Education katka masons ya Biology na chemistry ila kwa sasa bado sija ajiriwa ila nahitaji mwaka huu niende kusoma degree ya BIOTECHNOLOGY ana LABORATORY Au MOLECULAR BIOLOGY ,,,Naomba mnisaidie kama inawezeka mtu mwenye diploma ya education kusoma degree hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Advance ulipiga comb gani
 
unasoma bila matatizo yoyote ili mradi uwe na pasi Tano o level na pia uwe na GPA ya 3.0 na kuendelea
 
Back
Top Bottom