Mtu mwenye contact za patrick mwangi (mtengenezaji wa briquette and briqutte machine) anipe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu mwenye contact za patrick mwangi (mtengenezaji wa briquette and briqutte machine) anipe

Discussion in 'The Lounge' started by Kig, Oct 2, 2012.

 1. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hi kenyans. Mtu yeyote mwenye contacts details (email address, phone, mobile numbers) za patrick mwangi ambaye ni mtu maarufu kwa kutengeneza briquettes (makaa ya mawe) kule nyeri anipe maana nahitaji bidhaa hizo kwa wingi sana. Please help me.
   
 2. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
 3. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  ukisema wataka briq nyingi ni ngapi, na wazitaka kwa mda gani? unataka briquette ama wataka kuongea na Patrick mwangi mwenyewe?
   
 4. Dhuks

  Dhuks JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1,469
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Tafuta namba za ntv then itakuwa rahisi kupata usaidizi
   
 5. p

  patrick mwangi New Member

  #5
  Jan 30, 2013
  Joined: Jan 30, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu hapa ni patrick mwangi.namba ya simu ni 0722769087 na e-mail ni alfastarind@yahoo.com na tuko nyeri town kwa nyeri light industries(formerly jua kali sheds)karibu na makaburi ya Muslims.Ninatumai umeridhika,karibu wakati wowote.
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Jan 30, 2013
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135

  Karibu sana bwana Mwangi na naona JF inafika mbali sana.

  Nadhani bwana Kig, atapata jumb pindi anapoingia humju ndani.
  Kwa mara nyengine tena, shukran na Mungu akubariki katika kazi yako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...