Mtapenda
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 1,115
- 2,055
Binafsi sijapiga kura japo ninakitambulisho nilijiandikisha mkoa mwingine 2015 lakini mwaka huu nimehamia mkoa mwingine..
Kwanini sikutaka kupiga kura kwasababu.
1. Mgombe uraisi wa chama tawala ndio muandaaji wa uchaguzi kuanzia kuchapisha makaratasi hadi mtangaza matokeo kawaandaa yeye sambamba na hilo walinda kura kawaandaa yeye.
2. Rais mara nyingi amejinasibu kwamba mkurugenzi nikuteuwe alafu ujee umtangazee mpinzani, gari nikupe, nyumba nikupe ni mshahra juu.
3. Chama tawala kinampango mkakati wa kufuta kabisa vyama vya upinzani nchini, hivyo basi sehemu nyeti zote raisi kaweka watu wanao muogopa, kumtii na kumnyenyekea hivyo atakalo sema lolote limepita.
4. Tanzania hatuna sababu ama jambo linalotuunganisha kwa pamoja ili tupige kura ya kukiangusha chama tawala lakini yapo yanayomgusa mtu mmoja mmoja kama ajira, mishahara n.k hivyo kila mmoja anaugulia kivyake kwasababu hatuna maono na ubinafsi ulio kithiri.
5. Kura yangu haina impact yoyote kwenye hili taifa maana haiheshimiwi wala hailindwi yanayo lindwa ni matakwa ya mtu mmoja.
MWISHO MCHAKATO MZIMA WA UPIGWAJI WA KURA KWA TANZANIA SIO HURU NA HAKI KABISA HIVYO BASI SITARAJII KUPIGA KURA TENA POPOTE ILIKUA MWISHO 2015
Ahsanteni.