Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi wa Tanzania

Mtapenda

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
688
1,000
Binafsi sijapiga kura japo ninakitambulisho nilijiandikisha mkoa mwingine 2015 lakini mwaka huu nimehamia mkoa mwingine..

Kwanini sikutaka kupiga kura kwasababu.

1. Mgombe uraisi wa chama tawala ndio muandaaji wa uchaguzi kuanzia kuchapisha makaratasi hadi mtangaza matokeo kawaandaa yeye sambamba na hilo walinda kura kawaandaa yeye.

2. Rais mara nyingi amejinasibu kwamba mkurugenzi nikuteuwe alafu ujee umtangazee mpinzani, gari nikupe, nyumba nikupe ni mshahra juu.

3. Chama tawala kinampango mkakati wa kufuta kabisa vyama vya upinzani nchini, hivyo basi sehemu nyeti zote raisi kaweka watu wanao muogopa, kumtii na kumnyenyekea hivyo atakalo sema lolote limepita.

4. Tanzania hatuna sababu ama jambo linalotuunganisha kwa pamoja ili tupige kura ya kukiangusha chama tawala lakini yapo yanayomgusa mtu mmoja mmoja kama ajira, mishahara n.k hivyo kila mmoja anaugulia kivyake kwasababu hatuna maono na ubinafsi ulio kithiri.

5. Kura yangu haina impact yoyote kwenye hili taifa maana haiheshimiwi wala hailindwi yanayo lindwa ni matakwa ya mtu mmoja.

MWISHO MCHAKATO MZIMA WA UPIGWAJI WA KURA KWA TANZANIA SIO HURU NA HAKI KABISA HIVYO BASI SITARAJII KUPIGA KURA TENA POPOTE ILIKUA MWISHO 2015

Ahsanteni.
 
ilu

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,039
2,000
Yaani hizo sababu ndio zilinifanya niache kushiriki kupiga kura tangu 2010. Hata jana nilipokuwa nasikia yanayoendelea vituoni nikashangaaa watu wanapata wapi nguvu ya kupanga foleni vituo vya kura. Chaaaa! Hakina ushindani sawa kwahyo huu si ushindi.
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,528
2,000
Binafsi sijapiga kura japo ninakitambulisho nilijiandikisha mkoa mwingine 2015 lakini mwaka huu nimehamia mkoa mwingine..

Kwanini sikutaka kupiga kura kwasababu.

1. Mgombe uraisi wa chama tawala ndio muandaaji wa uchaguzi kuanzia kuchapisha makaratasi hadi mtangaza matokeo kawaandaa yeye sambamba na hilo walinda kura kawaandaa yeye.

2. Rais mara nyingi amejinasibu kwamba mkurugenzi nikuteuwe alafu ujee umtangazee mpinzani, gari nikupe, nyumba nikupe ni mshahra juu.

3. Chama tawala kinampango mkakati wa kufuta kabisa vyama vya upinzani nchini, hivyo basi sehemu nyeti zote raisi kaweka watu wanao muogopa, kumtii na kumnyenyekea hivyo atakalo sema lolote limepita.

4. Tanzania hatuna sababu ama jambo linalotuunganisha kwa pamoja ili tupige kura ya kukiangusha chama tawala lakini yapo yanayomgusa mtu mmoja mmoja kama ajira, mishahara n.k hivyo kila mmoja anaugulia kivyake kwasababu hatuna maono na ubinafsi ulio kithiri.

5. Kura yangu haina impact yoyote kwenye hili taifa maana haiheshimiwi wala hailindwi yanayo lindwa ni matakwa ya mtu mmoja.

MWISHO MCHAKATO MZIMA WA UPIGWAJI WA KURA KWA TANZANIA SIO HURU NA HAKI KABISA HIVYO BASI SITARAJII KUPIGA KURA TENA POPOTE ILIKUA MWISHO 2015

Ahsanteni.

Hamia Rwanda. Kenya. UGanda Nk. Unajua kabisa watz watamchagua JPM. Unaanza visiingizio. Kwa hoja gani hasa. Ruksa ya kutukana ambayo mnayo kila siku. Hapa hata Tume inngetoka China. JPM ANGESHINDA.
 
Eliamini

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
517
1,000
Binafsi sijapiga kura japo ninakitambulisho nilijiandikisha mkoa mwingine 2015 lakini mwaka huu nimehamia mkoa mwingine..

Kwanini sikutaka kupiga kura kwasababu.

1. Mgombe uraisi wa chama tawala ndio muandaaji wa uchaguzi kuanzia kuchapisha makaratasi hadi mtangaza matokeo kawaandaa yeye sambamba na hilo walinda kura kawaandaa yeye.

2. Rais mara nyingi amejinasibu kwamba mkurugenzi nikuteuwe alafu ujee umtangazee mpinzani, gari nikupe, nyumba nikupe ni mshahra juu.

3. Chama tawala kinampango mkakati wa kufuta kabisa vyama vya upinzani nchini, hivyo basi sehemu nyeti zote raisi kaweka watu wanao muogopa, kumtii na kumnyenyekea hivyo atakalo sema lolote limepita.

4. Tanzania hatuna sababu ama jambo linalotuunganisha kwa pamoja ili tupige kura ya kukiangusha chama tawala lakini yapo yanayomgusa mtu mmoja mmoja kama ajira, mishahara n.k hivyo kila mmoja anaugulia kivyake kwasababu hatuna maono na ubinafsi ulio kithiri.

5. Kura yangu haina impact yoyote kwenye hili taifa maana haiheshimiwi wala hailindwi yanayo lindwa ni matakwa ya mtu mmoja.

MWISHO MCHAKATO MZIMA WA UPIGWAJI WA KURA KWA TANZANIA SIO HURU NA HAKI KABISA HIVYO BASI SITARAJII KUPIGA KURA TENA POPOTE ILIKUA MWISHO 2015

Ahsanteni.
kiukweli mim nipo neutral katika siasa ila naungana na wew katika hii hoja yako nimeampa sitopoteza muda wangu kushiriki uchaguzi mpaka pale tutapokua na tume ya uchaguzi isiyofungamana na upande wowote kisiasa
 
chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
8,362
2,000
Kuna walakeki wa hii inchi wanagonga cheers mafukara ambao asilimia 70 wanaugulia maumivu wanakatwa Kodi wananunuliwa ndege nauli ya Basi yenyewe hawana. Kilichobaki kila mtu akomae na hali yake.

Mimi toka Jana yoyote aliekuwa anasema mitano Tena akituma message nashida ajira hazijatoka acha nipate dhambi situmi Bora nipelekee walemavu hiyoo hela.
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
4,480
2,000
Hakuna mtu yeyote anayeweza kushindana na NEC ambayo ikishatangaza tu kuwa mtu kashinda, awe Queen ama Rungwe, hakuna mtu wa kupinga mahakamani.

Kweli views siyo kura. Lakini hata kama views zingekuwa ni kura, unawezaje kushindana na kura zilizopigiwa nyumbani na kuingizwa kituoni zikiwa kwenye mabegi? Utahitaji wapiga kura wangapi halisi ili ushinde? Na nyingine zikipigiwa kwenye mabahasha ambayo hata kuingia kwenye masanduku ya kura ilikuwa vigumu:

1603963130566.png

Tundu kashiriki akijua kabisa hashindi na kama alidhani angeshinda basi tena ndio hivyo.....

Views si kura!
 
Freema Agyeman

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
3,636
2,000
Hakuna mtu yeyote anayeweza kushindana na NEC ambayo ikishatangaza tu kuwa mtu kashida, awe Queen ama Rungwe, hakuna mtu wa kupinga mahakamani.

Kweli views siyo kura. Lakini hata kama views zingekuwa ni kura, unawezaje kushindana na kura zilizopigiwa nyumbani na kuingizwa kituoni zikiwa kwenye mabegi? Utahitaji wapiga kura wangapi halisi ili ushinde? Na nyingine zikipigiwa kwenye mabahasha ambayo hata kuingia kwenye masanduku ya kura ilikuwa vigumu:

View attachment 1615357

Nimekumbuka msemo mmoja wa kibeberu tafsiri inasema chukia mchezo, usichukie mchezaji.

Hii mchezo ndio imesababisha TL kupata 0.68%?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom