Nikupe 180,000LapTop aina ya HP.Ina Hard Disc 116 gb, CPU 2.40 GHZ, Processor: Intel(R) Core(TM);Duo CPU 2.40 GHZ.
Smokey D
kUMBUKA PC siuzi, ila kuna tatizo dogo tu nataka kutatua.Kama una nia njemma tuwasiliane.
Maana huwa najijua mwenyewe tu.
Mkuu mi niko angola nitaipataje
Pc yenyewe aina gani isije ikawa lenovo imeshajizimikia muda tuApatikane mtu anisaidie tu maana nimefikwa na majanga ya ghafla ingawa PC yangu bado naipenda.Anipe hiyo 150,000 then nitampa pesa yake baada ya 2 months
Namba yangu ni 0659364407
Ina maana hujasoma heading au ndio kujitoa ufahamu?ni kwa waaminifu tu vibaka kama wewe na mimi haituhusu!Sasa nikichukua nikakimbia nayo utanipataje ??