Mtu mwaminifu ajitokeze, niweke PC yangu bond kwa 150,000!

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,620
34,053
Apatikane mtu anisaidie tu maana nimefikwa na majanga ya ghafla ingawa PC yangu bado naipenda.Anipe hiyo 150,000 then nitampa pesa yake baada ya 2 months

Namba yangu ni 0659364407
 
LapTop aina ya HP.Ina Hard Disc 116 gb, CPU 2.40 GHZ, Processor: Intel(R) Core(TM);Duo CPU 2.40 GHZ.
Smokey D
 
Riba utarudisha kiac gan?si unajua value of money ipo hata mkononi kuna VAT pia
 
si bora ninunue mpya na risiti ntapewa, kuliko hiyo ambayo itaitaji mashahidi alafu haina riba
 
Apatikane mtu anisaidie tu maana nimefikwa na majanga ya ghafla ingawa PC yangu bado naipenda.Anipe hiyo 150,000 then nitampa pesa yake baada ya 2 months

Namba yangu ni 0659364407
Pc yenyewe aina gani isije ikawa lenovo imeshajizimikia muda tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom