Mtu mmoja auwawa Bukoba Cooperative Hotel

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani na watu wasiofahamika katika viwanja vya hotel ya Bukoba Cooperative Hotel zamazni Yasila Hotel ufukweni mwa ziwa Victoria.Bado uchunguzi unaendelea..kwa updates nitaendelea kuwajuza.
 
nimeona facebook kwa rafik zangu walioko bukoba.Muda huu wameandika RIP Ans mwingine amesema alikuwa anafanya kaz sigara lakin ni Bukoba.

Lakin kila mtu anaogopa kusema mazingira ya kifo chake sababu ya wasiwasi .pengine ndio unaomsema. Ukipata maelezo tujulishe mkuu kama ndio uyo au yupi maana kwa saa za uko ni usiku sana sasa hivi
 
Aliyepigwa risasi anaitwa Hassan Munjuri, bado hajafamika mtu aliyempiga risasi na alipigwa risasi muda wa saa 4 za usiku maeneo ya Yaasila Beach hotel pembezoni mwa ziwa Victoria.

Uchunguzi bado unaendelea kubaini mtu aliyefanya mauaji hayo
 
siku hizi matukio ya mtu kupigwa risasi yanasababishwa na mtu kutembea na mke wa mtu.Nawashauri polis uchunguzi wao uanzie kwenye ilo.
Wewe Stuna mbona unafikiria mambo ya ajabu sana! Au umeshaibiwa mume wako! Be positive in thinking my dear.
 
Back
Top Bottom