Mtu mmoja ajinyonga nyuma ya jengo la bodi ya korosho mkoani Mtwara. RPC akanusha tukio kuhusiana na korosho

Amepata faida gani Kujinyonga!! Si upumbavu tu!! Jehannam inamhusu.....na pole yangu siitoi kwa huu ujinga.

Wala msiue nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza (kuia) isipokuwa kwa haki.
 
Back
Top Bottom