Wanajukwaa hivi ninani masikini kuliko wote duniani?
Maana kama kuna mtu tajiri kuliko wote duniani naamini yupo masikini kuliko wote.
Mkuu umejibu vema'Hongera sanna!Masikini kuliko wote duniani ni asiye na Mungu maana huyo hana tumaini.... Na kukosa tumaini ni kiwango cha juu kabisa cha umaskini
(sorry km jibu halipo sawa na mtazamo wako)