Mtu maskini kuliko wote duniani

Chepii

Senior Member
Mar 7, 2011
101
14
Wanajukwaa hivi ninani masikini kuliko wote duniani?
Maana kama kuna mtu tajiri kuliko wote duniani naamini yupo masikini kuliko wote.
 
umaskini upi,wa kifedha,kiafya,kiakili,kimapenzi ama kiroho....??
 
Masikini kuliko wote duniani ni asiye na Mungu maana huyo hana tumaini.... Na kukosa tumaini ni kiwango cha juu kabisa cha umaskini

(sorry km jibu halipo sawa na mtazamo wako)
 
Wanajukwaa hivi ninani masikini kuliko wote duniani?
Maana kama kuna mtu tajiri kuliko wote duniani naamini yupo masikini kuliko wote.

hayupo hapa duniani kama upo hai tyari wewe ni tajiri,maskin zaidi ni yule asiye hai,ila wote ambao tunaish ni matajiri,wanaotofautisha watu wanatumia takataka za kupita kama makaratasi(pesa),na vitu(assets),ambavyo mara nying ukifariki hawakuziki navyo unaviacha!
 
mimi jamani!!! Yaani na kuhangaika koooote nimeishia kuambulia ka RAV4 na ka Escudo na vinyumba viwili tu,tena vi self!wala sio vigorofa! Yani!! We acha tu.
 
Back
Top Bottom