raisi2020
Member
- Mar 4, 2016
- 82
- 83
Unapomuona huyu mtu unajua kabisa ni mtu makini kiasi gani,ameweka akili yake ktk kipi kinazungumzwa kuliko kusubiri akurupushwe kwa makofi ya watu ambao wanapiga makofi bila ya kujua kipi kimezungumzwa,watu wa hivi ni hatari mno,uwezi kucheza na akili yake na akakuelewa kirahisi,línda heshima uliyonayo acha kucheza na mitandao tafakari kwa kila unaloshauriwa ktk mitandao,kuwa makíni na kila mtu hususani katika kipi ufanye.