chai_nazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 388
- 374
Ww kama mimi mkuu, siwezi aisee!!!Wakuu kama kuibiwa Mimi nimeibiwa sanaa,ila hata ingetokea nimemkamata huyo mwizi,nisingeweza kufanya ukatili kama huo..
Mkuu unatoa uhai wa mtu kisa vitu vya kupita tu??
Sio haki kabisa kuua mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app