........inakuwaje mtu anaenda chooni anaacha kujisaidia sehemu husika anajisaidia chini tena ktk hotel kama hyatt
Watu wana mizuka ya ajabu mkuu. Halafu hivi vyoo vya aina ya kizungu haviaminiki na sio rafiki wa kimba. Inawezekana mtu yalimshinda akaamua kuweka mzigo chini
havipendi kimba?