Mtu katolewa kwenye nyumba bila amri ya mahakama

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Kuna mtu alishitakiwa mahakama ya wilaya akashindwa akata rufa
Alieshinda akatumia polisi na dalali kumtoa kwenye nyumba kwa kutumia dikrii ambayo haikuwa sahihi
Mshindwa baada ya kumuweka wakili ikagundulika dikrii ilikuwa difa
Akaomba hukumu ya kukazia hukumu akajibiwa hakuna akaomba mahakama itoe uamuzi kwa makosa hayo mahakama ikamjibu
Sio kila kitu mahakama inapokosea irekebishe
Sasa nawauliza wanasheria je ni haki hiyo
 
Ongeza nyama kidogo!
Mgogoro ulihusu vipi nyumba?
Defects gani zilikuwepo kwenye decree?
Njka ipi ilitumika kulmba marekebisho kwenye decree?
Majibu ya rufaa yalikuwaje?
 
Ongeza nyama kidogo!
Mgogoro ulihusu vipi nyumba?
Defects gani zilikuwepo kwenye decree?
Njka ipi ilitumika kulmba marekebisho kwenye decree?
Majibu ya rufaa yalikuwaje?
Decree ilikuwa tofauti ya tarehe na hukumu
 
Back
Top Bottom