Mtu kama Makonda ashukuru sana Watanzania siyo watu wa kisasi

Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake.

Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo.

Nakwambia wasingemwacha. Wangesema naye tu kumuuliza ulivyokuwa ukitutendea vile ulifikiria Uongozi utakuwa nao Milele?

Anyway naamini hii roho tuliyo nayo ndo hufanya wanasiasa wawe vile wanakuwa wanajua mwisho wa siku yanaisha....tuendelee kuwa hivi hivi na wao wajaliwe kuwa vile vile.
Sio huyo tu wapo wengi japo huyo alizidisha watu uwa hawaelewi unachotoa ndo unachopata (what goes around comes around)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii picha inanipa mawazo chanya sana

20210606_170234.jpg
 
Juzi kati kulikua na shuhuli ya hawa mastaa wenu hapo mlima city bashite akenda bila kadi walinzi wakamkazia mlangoni akaondoka kwa kuzuga anaongea na simu ya uongo na waandaaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom