Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,991
2,000
Ni Albert Msando.

Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?

What was he doing there? Fingering her?

What the hell is wrong with you Samia?

Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?

Shameful! Repulsive! Disgusting!

And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?

Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?

=====

Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.

Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,487
2,000
Wakati mwingine hua inatokea kwamba anayepata chansi ni anayejulikana na siyo kwakua ana uwezo.

Wenye uwezo ni makeyboard warrior na anonymous id wataonekana saa ngapi? Wanaojulikana Msukuma, Kheri James, Gwajima n.k.
 

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,207
2,000
Albert Msando CV yake ni chafu sana licha ya kuwa anatokea katika field (Law Field) yenye ethics & culture zake. Ni mwanasheria mzuri, mtu mzima ila ana akili za kitoto sana sambamba na hela kumwehua.

Skendo zake za mahawara na ulevi uliopindukia hazina idadi, sidhani kama kuna mwanasheria anaemfikia kwa skendo.
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,755
2,000
Hahahah wazee wa kusagia kunguni😂😂😂 mmemkazia mpaka muende nae kuzimu kudadadeki! Ubaya ni kuwa hawezi tenguliwa this shit is for the past! Ingekuwa imetokea week iliyopita sawa na uzuri mama mtu wa mitandao atakuwa alishaionaga hio clip kwa hio hamna geni!
 

Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
4,360
2,000
Sidhani kama huwa kuna background check kwa hawa wakuu wa kamati za ulinzi na usalama wa wilaya zetu, kama tulikuwa na jambazi sugu(Sabaya) akiwa mkuu wa wilaya ujue yoyote anaweza kuwa.

Ngoja naye huyu tuje kumuhukumu kwenye utendaji wake, private life yake inaweza isiathiri utendaji wake na kama ana jinai yoyote apelekwe mbele ya pilato.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom