Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Ousofia 01:59 Today
By Kipipi:
Chuki ni bureee!
Nakupenda kipipi mi sikuchukii hun
Edit Reply Report Post
Ousofia 04:24 Today
Dah coment ya mwisho kuhusu kipipi si mimi kuna mtu anatafutia kisingizio kaona alogin na account yangu,acheni uhuni wahusika,ni upumbavu kuandika kitu ambacho sijaandika mimi,nikiandika thread kuwa nimelewa usidhani nipo hivo na si kigezo cha kucoment kwa account yangu,haki ya nani mhusika umeniudhi,JF inaboa for real kwa mtindo huu, where is our privancy?
Edit Reply Report Post
Ousofia 04:28 Today
Mhusika uliyereply kwa account yangu na kuccoment kwa kipipi umeniudhi sana.
Edit Reply Report Post
Page 8 of 8 First ... 678
Mods najua mnaweza kufunga hii thread,
But
Kuna haja gani huyu mtu kumjibu Kipipi kwa account yangu?eti nakupenda hun sikuchukii.
Yaani imefika kiasi cha kutumia account za watu?
Uliyeingia kwenye account yangu umeniudhi na ninajua unaweza ukaclose hii thread au ban!
Ila umefanya kosa kuingilia privancy yangu

Last edited by a moderator: