singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hakika sasa Tanzania mpya inazaliwa chini ya Dk. tumeona mambo makubwa aliyoyafanya ndani ya siku chache za utawala wake
Magufuli amewakuna wananchi. Hii ni kutokana na kauli zake, hatua ambazo amechukua dhidi ya watu walioonekana kuwa hawagusiki na pia tabia yake ya kusimama kuzungumza na wananchi kila anapopata nafasi.
Katika mikutano yake na wananchi anayoifanya wakati anaposimamishwa, Magufuli mara nyingi huwa anazungumzia masuala na kero zinazowakabili wananchi wa eneo husika na mara nyingi huwa ni kero ambazo zinawagusa wananchi wa maeneo mengi.
Wakati Magufuli akichukua wadhifa wa urais, serikali ilikuwa ikikusanya kiasi cha kati ya shilingi bilioni 850 hadi bilioni 900 kwa mwezi. Tangu aingie madarakani, wastani wa ukusanyaji mapato umeongezeka na kuwa shilingi bilioni 1500, (trilioni 1.5)
Kiwango hicho tayari ni rekodi katika historia ya ukusanyaji mapato hapa nchini na sifa hiyo ni kubwa kwa sababu amefanikisha hilo katika kipindi cha siku 100 tu tangu aingie madarakani.
Kuongezeka kwa mapato kutaifanua Tanzania yetu ipae kiuchumi na kundokana na tabia ya kuwa nchi ombaomba ambayo haipendi kabisa Dk Magufuli. Ndio maana Nadiriki kuseama anayempinga na atakayempinga Dk. Magufuli analinda mafisadi na ana maslahi nao.