Hawezi kumiliki kama yeye. Ila anaweza kupata aridhi kwa kipindi na kwa matumizi maalum ya uwekezaji kupitia Kituo cha uwekezaji tanzania kwa mfumo unaoitwa "derivative rights".
Haruhusiwi kumiliki Ardh labda kwa ajili ya uwekezaji tu, Chini ya Sheria ya Ardh YA Mwaka 1999 kifungu cha 19 na 20. Pia Kesi ya Shaffiq dhiyyeb v PSRC ina msimamo huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.