Mtu anusurika kifo baada ya chuma kumtoboa fuvu na kutokeza kati ya macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu anusurika kifo baada ya chuma kumtoboa fuvu na kutokeza kati ya macho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpigauzi, Aug 19, 2012.

 1. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=1]Brazil man survives steel rod through head[/h] [​IMG]Cannot play media. You do not have the correct version of the flash player. Download the correct version


  Doctors told the media their patient is "...doing very well. He's lucid, in good spirits, he ate, and he moves his arms and legs"

  A Brazilian construction worker has survived after a 2m (six-foot) steel rod fell from above and pierced his head, doctors who treated him say.
  Eduardo Leite was taken to a Rio de Janeiro hospital, where the rod was removed after five hours of surgery.
  The doctors said he responded well to surgery, suffered no adverse consequences and has experienced little pain.
  He narrowly escaped partial paralysis and loss of an eye, they added.
  The rod is said to have fallen from the fifth floor of a building under construction.
  It pierced Mr Leite's hard hat, then the back of his skull, before exiting between his eyes.
  Luis Alexandre Essinger, chief of staff at the Miguel Couto hospital, said Mr Leite was conscious when he arrived there and explained what had happened to him.
  "He was taken to the operating room, his skull was opened, they examined the brain and the surgeon decided to pull the metal bar out from the front in the same direction it entered the brain," he said.
  Mr Leite had "few complaints" after the surgery, Mr Essinger added, saying "it really was a miracle" that he survived.
  Neurosurgeon Ruy Monteiro told local TV that the bar had entered a part of the brain with no specific major known function.
  The victim is expected to stay in hospital for another two weeks, and will be given antibiotics to avoid risk of infection.

  SOURCE: BBC NEWS 18 AUG 12

  My take: madaktari wakiwezeshwa kwa zana na mazingira bora, wanaweza kazi yao
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nimeogopa sana afadhali ajali ya gari kuliko kutobolewa na chuma kichwani then itokee kwenye macho.
   
 3. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Huyu sijui nisemeje ila ajue aliyemwokoa ni Mungu peke yake wala si madaktari. Aendelee kumtegemea Mungu mara mbili zaidi
   
 4. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]


  [​IMG]
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Inaogopesha
   
 7. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 973
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Habari nzuri ila co jukwaa lake hili peleka kwingine
   
 9. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Frankly speeking Doctors are the marvellous gift God has given the world. God is great all of the time.
   
 10. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  doctors are born with gifted minds from God and not made kama wanasiasa wanavyofikiria. Ukifuatilia from primary schools walikuwa na performance nzuri among most of the pupils labda hawa watoto wa siku hizi ambao elimu imekuwa biashara. Watu walikuwa wakiwatabiria mafanikio tangu wadogo, pamoja na wale wa engineering. Unfortunately in tz wale vilaza ndo watungaji wa sera na ndo waamuzi wa mustakabali wa hizi fani. No wonder why waziri anashikilia msimamo wa kutrain first aiders zaidi kwana ameona furaha ya watz ni kuwa palliated badala ya kutibiwa.
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ila hata kuwa normal there after, though itategemeana na sehemu ya ubongo iliyodhurika, kama kuna mtu alishawahi kutana na kisa cha Phineas Cage atatambua hili
   
 12. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  dah...kweli kila mtu na maisha yake...ila hata teknolojia inasaidia maana kama hauna vivaa vya ku scan vizuri hiyo nondo ilipopita unaweza kuharibu tu...
   
 13. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  katikati ya ubongo wa kulia na kushoto kuna nafasi nyembamba isiyo na brain tissue. Mbele ya fuvu kuna frontal sinus. Yawezekana hiyo chuma imepita kwenye sehemu hizo.
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Du inatisha sana
   
 15. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ingekuwa tanzania huyu angekuwa marehemu maana hajuna vifaa. Mungu amsaidie sana
   
 16. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ungesoma thread hadi mwisho ndiyo ungetambua hapa ni sehemu yake. Kama umesikia maoni ya waziri wa afya, ungeweza kutoa maoni yako vizuri
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,550
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  ...Umeona eeh!!!
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Inatisha asee
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mungu mkubwa.
   
 20. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Mungu ni mamlaka nyingine.Sijui ingetokea jamii zingine kama hata wangehangaika naye,ingawa alikuwa akiongea wangeamwambi aaage na kusubiri kifo tuu.

  Tunahitaji wekeza katika fya ili angalau madaktari wetu nao waanze kata mbuga katika maeneo kama haya.Brazil wapo juu sana, na kam atungekuwa tumewekeza katika afya halafu tuwalete hawa jamaa kwa operation za watz na kuwalipa, ikiwa hivi kwa hawa jamaa na wa india somewhere wetu nao watapiga jalamba.Sasa JK ndio muda presidaa anatakiwa afanye mambo,Maximo asiwe tuu mcheza dili wa Serikali ya Brazili kuwapatia makampuni yao dili za utafiti wa madini, mafuta na gesi, huku wakiimarisha soko la marcopolo,pia atuletee wataalamu wao wafanyie operation kubwa katik facilities zetu, hat aikibidi wagonjwa wa kanda waletwe hapa ,somewhere tutapata gear ya kuingilia.Kwani hata wao kutumia facilitieas ni hela kwetu.
   
Loading...