Mtu anawezaje kupata ujauzito na tatizo la Varicosele?

Sema wewe ndio una hiyo shida mkuu, usisingizie ndugu yako
 
Mpo pole mfikwa wa hilo tatizo. Suluhisho la Varicocele ni embolization au open surgery kwa hali ilipofokia kwa hyo mgonjwa na hzo ndio njia za Medical (Medical treatment) kwa maana tayari athari za Varicocele zimekwisha kuonekana baada ya kusababisha changamoto kwenye uzalishaji namshauri akubali tuu huo upasuaji au iyo njia nyingine
 
Asante, nitamshauri
 
Hili tatizo bado sijalielewa vizuri. Nahitaji maelezo zaidi
Yaani ni kwamba mrija mmoja kati ya mirija miwili ya kusafirishia mbegu za kiume kuna kijisehemu umetanuka.Hivyo mbegu zinakwamia hapo hazitoki hivyo inampelekea kutoa mbegu chache kwa mrija mmoja ule mzima hivyo inakuwa ngumu kumpa mimba mkewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom