Ngolo Mseka
Member
- Oct 17, 2020
- 28
- 6
Hi
Mtu anawezaje kupata ujauzito na tatizo la Varicosele?
Mtu anawezaje kupata ujauzito na tatizo la Varicosele?
Hahhaaa sio mimi buanaSema wewe ndio una hiyo shida mkuu, usisingizie ndugu yako
Asante, nitamshauriMpo pole mfikwa wa hilo tatizo. Suluhisho la Varicocele ni embolization au open surgery kwa hali ilipofokia kwa hyo mgonjwa na hzo ndio njia za Medical (Medical treatment) kwa maana tayari athari za Varicocele zimekwisha kuonekana baada ya kusababisha changamoto kwenye uzalishaji namshauri akubali tuu huo upasuaji au iyo njia nyingine
Yaani ni kwamba mrija mmoja kati ya mirija miwili ya kusafirishia mbegu za kiume kuna kijisehemu umetanuka.Hivyo mbegu zinakwamia hapo hazitoki hivyo inampelekea kutoa mbegu chache kwa mrija mmoja ule mzima hivyo inakuwa ngumu kumpa mimba mkeweHili tatizo bado sijalielewa vizuri. Nahitaji maelezo zaidi
Asante mkuu nitamshauriMwambiee awaone urologist pale muhimbili.
Sikumwelewa kiundani,ila sijui ni kupulizia hewa hiyo sehemu iliyotanuka ili ijitengeneze,kwa kweli sijui vizuriembulization ndo nini?
varicocele ni aina ya hernia/uvimbe kwenye korodani kwa ndani ambayo inaathiri kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume.Hili tatizo bado sijalielewa vizuri. Nahitaji maelezo zaidi