VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Sina wasiwasi
IMG-20190606-WA0112.jpeg
 
Nimejaribu kutafuta majibu google sielewi elewi naomba wataalamu mnifahamishe.Tokea mtu aambukizwe HIV je virusi vinaweza kugundulika baada ya mda gani?Je wiki mbili zinaweza kuwa sufficient?
 
Inategemea Una test kwa kutumia nini,, kama ni bioline zinazotumika kwa wingi ni baada ya mwezi mmoja toka uambukizwe
 
Sivijui vipimo but nadhani ni hivi hivi ambavyo huwa vinaonyesha mistari miwili kama umeungua.

Kama hizo ndio bioline does that mean a season of waiting continues.
 
Mkuu kwa kutumia hivyo vya mistali miwili utasubiri hata miezi mitatu...
Lkn kama unahisi umejiambukiza ndani ya masaa 72 unaweza kupima now ukikutwa negative unaanza dawa zinaitwa pep ambazo basically ni ARV lkn zinasaidia usipate maambukizi
 
Okay hakuna vipimo vingine ambavyo vinaweza kuwa vya Muda mfupi zaidi?

Kama vipo vinaweza kugundua baada ya muda gani?
 
Back
Top Bottom