Mtu anashindwa vitu vidogo vya chai na uji ataweza kuleta viwanda kweli??

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,870
3,210
Nimepita sehemu wazee wanatia kejeli kidogo
Imenibidi nicheke kwa dharaaaauuuuuu
Hii ni tafakuri ya kila mwananchi
Vitu vidogo kama chai na uji vimemshinda na vinakuwa ni ishu majumbani
Futari watu hawauliZi tena kale ka utamu
Nimewaazaaaaa
Mara mafuta ya taa nayo ishu
Serikali kuna uchakachuaji wa mafuta ya taa wanachanganya na diesel hivo wanaalibu magar
Nimeendelea kupata raha
Mara mitumba marufuku uliza viwanda vingapi utapata raha apo
Nikagundua hawa wazee wanaakili sana
Tunapiga hatua moja mbele tunarudi kumi tunajipongeza
Hii kwel bongo land
 
f4f919b6936f536b1cd970d4d47e77e2.jpg
 
Nimepita sehemu wazee wanatia kejeli kidogo
Imenibidi nicheke kwa dharaaaauuuuuu
Hii ni tafakuri ya kila mwananchi
Vitu vidogo kama chai na uji vimemshinda na vinakuwa ni ishu majumbani
Futari watu hawauliZi tena kale ka utamu
Nimewaazaaaaa
Mara mafuta ya taa nayo ishu
Serikali kuna uchakachuaji wa mafuta ya taa wanachanganya na diesel hivo wanaalibu magar
Nimeendelea kupata raha
Mara mitumba marufuku uliza viwanda vingapi utapata raha apo
Nikagundua hawa wazee wanaakili sana
Tunapiga hatua moja mbele tunarudi kumi tunajipongeza
Hii kwel bongo land

Wengine wanasema eti kuwa mwenyekiti tu wa chama anazalisha wabunge, chama chake kikichukua nchi si atahamishia made.....madenti wote wa CBE pale night club kwake!
 
magu aachiwe miaka mitano ajaribu fomula yake, mimi nipo pembeni nasubiri matokeo.
 
Kila nchi inatamani uchumi wa viwanda mbinde ni jinsi ya Kufikia hapo! Kama bajeti tu ya kulipa mishahara na fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu zinatafutwa na tochi kweli za viwanda si ndio tunatumia karabai? Yaani bajeti yetu haijaweza kukidhi matumizi ya kawaida je ya maendeleo ipo kweli? Na hiyo ya maendeleo tupate huko hela za viwanda?
 
Muda mwingine unatumia satire kidogo sio lazima kila muda uandike kama kitu kilivo kwanza jf nao hawacheleweshi ku block thread yako wacha tupige kwa stail hii
Si mnajua wenyewe wamejinga kutuweka ndani
 
M nikiwambia eti wanasema mchochezi
Kila nchi inatamani uchumi wa viwanda mbinde ni jinsi ya Kufikia hapo! Kama bajeti tu ya kulipa mishahara na fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu zinatafutwa na tochi kweli za viwanda si ndio tunatumia karabai? Yaani bajeti yetu haijaweza kukidhi matumizi ya kawaida je ya maendeleo ipo kweli? Na hiyo ya maendeleo tupate huko hela za viwanda?[/QUO
 
Back
Top Bottom