Mtu anapona ukimwi kwa njia ya miujiza ? Ndiyo.

Nijibu ndiyo kwa sababu nimeongea uso kwa uso na KENNEDY MGOYEZI,anayeishi mkoani Arusha;ambaye ni shuhuda mmojawapo baada ya kutazama video ya shuhuda za waliopona ukimwi kwa njia ya maombezi kwenye YOUTUBE;nilipo tembelea www.bishopzacharykakobe.org

Itakuwa ni kweli tu!
Mbona hata wale waliokwenda Loliondo kwa Babu Mwaisapile wote wamepona kabisa, na ushuhuda wametoa!
Hata kwa Mzee wa Upako, Mama Lwakatare, Askofu Joshua..n.k kila siku wanatoa ushuhuda wa kupona!
Lakini cha ajabu ni kuongezeka kwa wagonjwa mahospitalini na kujaa sehemu za kuzikia (Makaburi yote ya mijini yako fuLL)
 
Nenda wakupotezee time table ya kumeza ARV alafu uone mabega yatavyopanda juu.Nilimpoteza mama yng mdogo kwa mambo kama hayo.
 
Itakuwa ni kweli tu!
Mbona hata wale waliokwenda Loliondo kwa Babu Mwaisapile wote wamepona kabisa, na ushuhuda wametoa!
Hata kwa Mzee wa Upako, Mama Lwakatare, Askofu Joshua..n.k kila siku wanatoa ushuhuda wa kupona!
Lakini cha ajabu ni kuongezeka kwa wagonjwa mahospitalini na kujaa sehemu za kuzikia (Makaburi yote ya mijini yako fuLL)

Hiyo list ndo ingekuwa tamu kushambuliwa na wana UAMSHO.Ni wajasilia mali wanaoiba kwa kutumia jina la yesu
 
mmmhhhh! ni upepo tu!!
Siyo upepo tu, kama babu wa Loliondo; bali kitu hiki cha kupona ukimwi kweli,kitadumu kwa sababu mimi nimekifatilia tangu Dar mpaka Arusha kama Tomaso nyakati za Yesu Kristo!
 
Hiyo list ndo ingekuwa tamu kushambuliwa na wana UAMSHO.Ni wajasilia mali wanaoiba kwa kutumia jina la yesu
Subiri tu, muda si mrefu wafuasi wao wataingia javini baada ya kupeana habari hii;na kukupa majibu katika hili !
 
mmmhhhh! ni upepo tu!!
Siyo upepo tu, kama babu wa Loliondo; bali kitu hiki cha kupona ukimwi kweli,kitadumu kwa sababu mimi nimekifatilia tangu Dar mpaka Arusha kama Tomaso nyakati za Yesu Kristo!
 
mmmhhhh! ni upepo tu!!
Siyo upepo tu, kama babu wa Loliondo; bali kitu hiki cha kupona ukimwi kweli,kitadumu kwa sababu mimi nimekifatilia tangu Dar mpaka Arusha kama Tomaso nyakati za Yesu Kristo!
 
...labda kuna makosa yalifanyika katika vipimo vyake na hivyo kuonekana kama alikuwa HIV+ wakati si hivyo. Nimeshaona kesi nchi mbali mbali ambazo wahusika waliambiwa wako HIV+ kumbe kuna makosa yalifanyika na baadaye baadhi yao waliamua kufungua mashtaka dhidi ya hospitali na madaktari waliowapa hitimisho ambalo halikuwa kweli. Vinginevyo siamini kama unaweza kuponywa kimiujiza.
 
Ndiyo. Wako watu kadha wliothibitishwa kuwa ni +HIV kwa kupimwa mara nyigi na hali zao kubadilika kuwa mbaya, tena wengine wakafiwa na wenzi wao lakini du si mchezo, maombi yaliwaponya na hadi sasa wengine wana miaka zaidi ya kumi kila wakicheck ni -HIV! Afya saaaaaaafi kabisa. Nimewaona live akina Kennedy Mgoyezi, ......Kapaliswa na wengine. Hebu tembelea www.bishopzacharykakobe.org alafu uende kwenye YOUTUBE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom